Spika Ndugai: Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo ICU, imeshashindwa

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Spika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.

Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".

Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
 
Hali ni mbaya sekta ya mifugo
Nimemsikia Spika ndugai kiukweli ana POINT
 
Spika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.

Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".

Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
akamwambie "atake asitake tutamuongezea muda" hakujua hayo toka awali?
 
Spika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.

Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".

Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
mbona hakumshauri mwendazake kuhusu hiyo business
 
Hii tabia aliyonanzisha spika ndani ya wiki hii yaan anatoa conclusion as if yy ndio serikali... HII TABIA NI KHERI AACHE na kwann anasema sasa mbona miaka 5 nyuma alikuwa hana hii tabia ya kukosoa mipango ya serikal.

Hakuna kinachoshindikana, serikali ijaribu PPP modal tuone
NDUGAI anaungana na CHADEMA kumkosoa Mama, hatukubali hii tabia, kamati kuu CCM imvue madaraka.
 
Back
Top Bottom