Spika Ndugai: Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo ICU, imeshashindwa

Spika Ndugai: Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo ICU, imeshashindwa

Ni vyema kumsikiliza Ndugai mara ya pili .Binafsi naona ana point lkn hili la kujiuliza eti sheria ilipitaje pitaje hapa KUNA KASORO yaan mnajiuliza ilipitaje pitaje

Spika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.

Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".

Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
Admin aliyekopi na pesti hakua hariri maana migugo kaiweka kama ilivyo
 
Na ipo pole kongwa
Mbona hakumshauri mwendazake kuwa inakufa?
Yule hakuwa binadamu wa kawaida kuambiwa ukweli wala msiwacheke watu kama job . Nakwambia walimjua vizuri vitu ambavyo angefanya kwao ni zaidi ya unyama.
 
Serikali iwakopeshe mitaji vijana waliomaliza vyuo vya mifugo waendeshe hiyo ranchi kupunguza tatizo la unemployment
Ndiyo njia bora sana kuliko kuigawa kama pipi kwa watu ambao hawajui kutengeneza vyao wanataka vilivyoundwa baada ya kuona vyaelea
 
Spika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.

Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".

Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
Kipindi Cha mwendazake alikua ni mwendo wa kusifia ndugai ni mnafki sana
 
Waqt mh lowassa alipokuwa waziri mkuu alitembelea kusini huko akakuta ranchi ina wafanyakazi kama mia hivi na wana ng"ombe mmoja mh lowassa akamchukua mkurugenzi ndani ya gari yake sijui kiliendelea nini kwa mkurugenzi ila ranchi ilifungwa
Duh

Ova
 
Unatafuta tu kuniharibia siku yangu nzuri.

Huyo mtu wakati wote atakapoendelea kuwa kiongozi wa wabunge hao, wote nawadharau kukubali kuongozwa na kinyago kama kile.

Ni kama hawana akili kichwani!.

Lakini kama kuniita kwako kunahusiana na kushindwa uendeshaji wa ranchi hiyo, ni wazi unajuwa ninaposimamia kwenye maswala kama hayo.
Kushindwa huko sio ushahidi kwamba haiwezi kuendeshwa kwa ufanisi.

Na kama bado hujaelewa anachosema huyo kilaza Ndungai; yeye na watu wa aina yake ndio wanaosababisha matatizo yote haya halafu nyinyi mnatugeukia sisi tueleze yaliyotokea. Huyo mtu yupo serikalini, akiwa ni adui wa mafanikio ya seriakali aliyomo.

Udhaifu ndio huo, na siyo kwamba serikali hawezi kufanikisha miradi kama hiyo.
 
Hivi hao so called wawekezaji / wajuaji / wanaojua..., kwanini wasifungue zao tu na kuendelea nazo ?, Mpaka wapewe hizi za taifa ?
Swali zuri sana mkuu wangu KeyserSooze.

Hawataki na wala hawawezi kulijibu swali hilo.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kwa hiyo tufuate ushauri wake,tuibinafsishe sio,ila tutatafuta kama ni miongoni mwa wanaotamani kuwekeza hapo,ikiwa ni pamoja na washirika wa karibu.
Kipindi kile walisema Mamvi ndio kaifilisi
 
Spika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.

Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".

Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
Hakuwa na raha kabisa wakati anaongea,nimemshuhudia ITV Habari saa 2 kamili usiku.
 
Back
Top Bottom