Kwa hiyo tufuate ushauri wake,tuibinafsishe sio,ila tutatafuta kama ni miongoni mwa wanaotamani kuwekeza hapo,ikiwa ni pamoja na washirika wa karibu.Kwa sasa Spika Ndugai anaisimamia serikali ipasavyo!
Bingwa wa maigizo.Kwa sasa Spika Ndugai anaisimamia serikali ipasavyo!
Wadau walikuwa wanaogopa pyu pyu pyu kama zilizoelekezwa kwa Lissu, Mama katuhakikishia kuwa sasa tuko huru kumkosoa.kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.
Naona sasa hivi mawimbi ya sabufa yanakamata kutoka satellite ya visiwani na siyo kanda ya ziwa tena,
Na ipo pole kongwaNaona Ndugai kama anaimendea hii NARCO ili asitafie.
Tehe .. Natania.
Hali ni mbaya sekta ya mifugoSpika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.
Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".
Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
akamwambie "atake asitake tutamuongezea muda" hakujua hayo toka awali?Spika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.
Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".
Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
Naona Ndugai kama anaimendea hii NARCO ili asitafie.
Tehe .. Natania.
mbona hakumshauri mwendazake kuhusu hiyo businessSpika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.
Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".
Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
NDUGAI anaungana na CHADEMA kumkosoa Mama, hatukubali hii tabia, kamati kuu CCM imvue madaraka.Hii tabia aliyonanzisha spika ndani ya wiki hii yaan anatoa conclusion as if yy ndio serikali... HII TABIA NI KHERI AACHE na kwann anasema sasa mbona miaka 5 nyuma alikuwa hana hii tabia ya kukosoa mipango ya serikal.
Hakuna kinachoshindikana, serikali ijaribu PPP modal tuone