Sio kweliNDUGAI anaungana na CHADEMA kumkosoa Mama, hatukubali hii tabia, kamati kuu CCM imvue madaraka.
Ukweli ni upi? kwamba CCM inajipinga yenyewe wakati wana msemo wao wa MITANO TENA?Sio kweli
InshallllahUkweli ni upi? kwamba CCM inajipinga yenyewe wakati wana msemo wao wa MITANO TENA?
Ndugai yupo SUKUMA GANG na hata siku moja hayupo na mama , inajulikana, ni suala la muda atatoka tu kwa kiti kile, wala haisubiriwi 2025.
Wameuza Ranchi za taifa Hawa ccm hasa kipindi Cha Kikwete, moja Ranchi ya Kongwa nayo ilikua mbioni kuuzwa ,kupitia mgongo wa kubinafsiwa ,lazima lanchi kurudi Sasa na mkiuza ya Kongwa mtapata majibu kila mmoja KWA nafasi yake ,tz viongozi wengi ni majizi sanaSpika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.
Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".
Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
Huyu anataka kujigawia hiyo ranchi kuweni makini, za kuambiwa ongezeni na zenu, rejeeni statement zake za nyuma"Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
Yaani umepiga penyeweNaona Ndugai kama anaimendea hii NARCO ili asitafie.
Tehe .. Natania.
Spika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.
Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".
Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
Huku wabunge wake wakiwa hawana habari! Bunge sasa ina Mbunge mmoja machachari wa upinzani; Mhe. Job NdugaiKwa sasa Spika Ndugai anaisimamia serikali ipasavyo!
Hatari Cha ajabu utakuta bado ina mkurugenzi,ana V8,linawekwa mafuta,na anaenda ofisini kusoma magazeti
Shirika lilikuwa na uwezo wa kufuga ng'ombe Ila Ni wizi wa viongozi unasababisha Ranchi haziendelei.Ipo wana eneo juzi kati nilisikia, hapo Mvomero mpaka Kilosa, wananuia kupangisha vitalu vya ufugaji, serikali, ikusanye mapato. Shida inakuja ndani humo huko kuna wakulima waliouziwa maeneo na watendaji sijui wenyeviti.
Vurugu tupu. Kweli serikali haiwezi kuchunga ng'ombe. Ilaaa mmmh
Everyday is Saturday............................... 😎
Mbona kama anaitaka yeye anapigia chapuo ibinafsishwe aichukue?Spika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.
Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue na kujaza ng'ombe hamtafanikiwa".
Ameongea hayo Bungeni wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Migugo na Uvuvi ambapo amesisitiza, "Sio kazi ya Serikali kuchunga ng'ombe. Achieni wenye kazi yao".
Enzi za mwendazake alijikita kutimiza maagizo ya kutimua/kuzalilisha wabunge wa upinzani.Kwa sasa Spika Ndugai anaisimamia serikali ipasavyo!
Wabunge wenu hao kina babu tale na Musukuma wanalala bungeni ndiyo maana spika anawasemea.Huyu spika kwani hana namna nyingine ya kuwasilisha maoni yake au mapendekezo yake?
Haya mambo ya kukaa kwenye kiti cha spika na kuanza kupingana na serikali ile ile bila data kwa kile anacho kiita maoni hayana afya kwenye nchi hii.
Sasa hivi anaisimamia serikali yeye kama yeye baada ya kugundua kuwa hana wabunge wa kuisimamia serikali.Kwa sasa Spika Ndugai anaisimamia serikali ipasavyo!