Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ndio watunge sasa' kuififisha nguvuWasingelikuwa wanajua nguvu yake wasingelitunga na kupitisha sheria za matumizi ya mitandao...
Hapo anajikosha tu, mkubwa kaamua kuchutama...
Kwa mara ya kwanza kauli ya kiongozi mkuu wa Serikali kukili nguvu ya mitandao ya kijamii imetolewa na Spika Ndugai ambaye ni mkuu wa Mhimili wa Bunge Tanzania.
My take:
Kwa kauli ile ni wazi Viongozi wameanza kuhofia mitandao ya kijamii.
Wanamtandao ni moto chini na tunaweka kumbu kumbu sanaWe Ndugai ulikuwa unaipuuza hujui kwanini huwa inazimwa maji yakitaka kuzidi unga kama 2020😆...ukibebwa na mbeleko jitahidi ujue mbeleko imefungwaje🐒
Hivi ni kweli au kilikuwa kibwagizo tu cha kuongeza utamu bungeni?
Huko CCM wana jadi ya kuwekeana vinyongo.Mwanamke si mwepesi kusamehe ukimvunjia heshma
Mwanamke si mwepesi kusamehe ukimvunjia heshma
Hii nayo ataikana
Siyo tu kwamba wameanza. Walianza siku nyingi kwa kutunga sheria za makosa ya Mitandao kulinda maslahi Yao.Kwa mara ya kwanza kauli ya kiongozi mkuu wa Serikali kukili nguvu ya mitandao ya kijamii imetolewa na Spika Ndugai ambaye ni mkuu wa Mhimili wa Bunge Tanzania.
Mitandao siku hizi ina nguvu, inaweza ikatengeneza ajenda, ikapeleka ajenda ambako wala haikuwa, na mjadala ukawa ni wa moto sana." - Spika Job Ndugai.
My take:
Kwa kauli ile ni wazi Viongozi wameanza kuhofia mitandao ya kijamii.
Hayo ni matokeo ya bunge na serikali kujaa mazuzu hivyo kupoteza mvuto kwa jamii ,sasa jamii imetafuta bunge lake mtandaoni na serikali mtandaoniKwa mara ya kwanza kauli ya kiongozi mkuu wa Serikali kukili nguvu ya mitandao ya kijamii imetolewa na Spika Ndugai ambaye ni mkuu wa Mhimili wa Bunge Tanzania.
Mitandao siku hizi ina nguvu, inaweza ikatengeneza ajenda, ikapeleka ajenda ambako wala haikuwa, na mjadala ukawa ni wa moto sana." - Spika Job Ndugai.
My take:
Kwa kauli ile ni wazi Viongozi wameanza kuhofia mitandao ya kijamii.
Hayo ni matokeo ya bunge na serikali kujaa mazuzu hivyo kupoteza mvuto kwa jamii ,sasa jamii imetafuta bunge lake mtandaoni na serikali mtandaoni
Mbona wanahofia kitambo tu unafikiri kwanini walizima wakati wa uchaguzi2020Kwa mara ya kwanza kauli ya kiongozi mkuu wa Serikali kukili nguvu ya mitandao ya kijamii imetolewa na Spika Ndugai ambaye ni mkuu wa Mhimili wa Bunge Tanzania.