Spika Ndugai: Kwenye majadiliano ya mikataba ya kimataifa tusipeleke watu waliopata makarai "O" level "A" level na Chuo kikuu

Imegine mtu km Harmonize anapigiwa debe akawe mbunge

kwangaru hitmaker to policy maker
Only in Africa🤦🏼‍♀️

ianzie kwenye vigezo
 
You are right....aisee hawa nyau nawajua in and out acha kabisaa, nimekaa nao miaka tenashara kwao kwetu na nje ya nchi yao bara lao. Cha kwanza kabisa kabisa katika negotiation know their culture, utamaduni wao wa biashara
 
Ni kweli kabisa Maradona alikuwa hatari uwanjani lakini ukocha umemshinda.
 
Kwani chenge ana sifa gani na amesoma chuo gani?Vipi Tibaijuka ni nani nchi hii na duniani?Rekodi zao nchini zipoje.Mambo ya kufaulu darasani na uelewa harakati za maisha ni mambo mawili tofauti.Huwezi kuzitafsiri harakati za ubepari kwa kigezo cha mtu kuwa alfaulu vizuri darasani.Wengine hufaulu vizuri kwa sababu ya kukariri tu!
 
kwenye negotiations hatuangalii ulioata division ngapi au class gani chuo kikuu, pengine unaweza ukawa na division kama za spika lakini ukawa mburula. Tunaenda mbali zaidi ya vyeti hasa nature ya MTU plus extra skills na aina ya negotiations.
kwahyo tusidanganyane kuwa wale watu weupe wanaokuja huku kwenye negotiations ndo walikuwa na division kama za spika.😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…