Spika Ndugai: Kwenye majadiliano ya mikataba ya kimataifa tusipeleke watu waliopata makarai "O" level "A" level na Chuo kikuu

Spika Ndugai: Kwenye majadiliano ya mikataba ya kimataifa tusipeleke watu waliopata makarai "O" level "A" level na Chuo kikuu

Tatizo la msingi sio vyeti tu bali expertise sisi mtu akishakuwa na title ya mwanasheria ni all knowing kwenye kila kitu.

Mkataba wa uwekezaji ni complicated finance, unahitaji wataalamu mbali mbali kutokana na nature ya investment wakukupa data sahihi kama premise ya negotiations. Lakini negotiations zenyewe ukishapata data ni uwanja wa accountants for the most part; na business lawyers wanaingia mwisho ku draft mkataba tu.

Sasa mambo ya investment yanayohusu return ambazo zinamaswala ya floating interest kutokana na future values of currencies, economic equilibrium kwenye kugawana mapato, taxes; kama ni madini data za reserve, environmental issues, etc.

Hizi ndio sababu ACCACIA na Barrick walikuwa wanalumbana kwenye thamani halisi ya shirika kutokana na data walizokuwa wanatumia na kila mtu akipinga data za mwenzake alizotumia.

Halafu wewe unampeleka Kabudi sijui Chenge kama chief negotiator watu ambao hawana qualifications za finance, economics na wala natural resources; utapigwa tu ata kama walikuwa top of the class kuanzia kwenye elementary education.
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai ameitaka serikali kuwa makini inapounda timu za kufanya majadiliano ya kimataifa ( negotiations) na kupeleka watu makini badala ya wababaishaji.

Serikali isiangalie tu kuwa huyu ni Mkurugenzi, RC au Katibu bali iangalie sifa zake alipokuwa shule.....peleka watu waliopata division 1 O level na A level kisha first class degree chuo kikuu hata kama ni vijana wadogo amesisitiza Ndugai.

Haijalishi ukurugenzi umeupataje cha msingi ni je una vyeti vinavyoheshimika, amemalizia Spika Ndugai.

Spika Ndugai ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma leo

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Huyu keshaona Bashite anaelekea wapi..................... (bado wana kabifu kao)
 
Kauli hii imetolewa bungeni leo na Spika Job Ndugai.
Kimsingi kuna hoja ya msingi, lakini je, ni nani anayepelekewa ujumbe huo?
Of course, sisi wananchi tumekusikia .
Mods, this is too much!!
Unaunga thread kwa sababu ipi ya msingi? kukosa nafasi ya seva? Inaboa sana
 
Vyeti? Are you stupid!?

Mimi nilishasoma kabla wewe na baba yako hamjazaliwa.

Nikafaulu mitihani yote nikatunukiwa elimu na shahada zote zilizopo chini ya jua!

Ninachopaswa kufanya hapa ni kukuonyesha wewe bank statements zangu, mishahara na marupurupu yote!

Vyeti pelekea mama yako akafungie sambusa!
Mrangi ameipenda sana hii!
 
Spika wa bunge mh Job Ndugai ameitaka serikali kuwa makini inapounda timu za kufanya majadiliano ya kimataifa ( negotiations) na kupeleka watu makini badala ya wababaishaji.

Serikali isiangalie tu kuwa huyu ni Mkurugenzi, RC au Katibu bali iangalie sifa zake alipokuwa shule.....peleka watu waliopata division 1 O level na A level kisha first class degree chuo kikuu hata kama ni vijana wadogo amesisitiza Ndugai.

Haijalishi ukurugenzi umeupataje cha msingi ni je una vyeti vinavyoheshimika, amemalizia Spika Ndugai.

Spika Ndugai ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma leo

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Mbona yeye ni zero brain na yuko Bungeni, pumbaf!
 
Etii??? amesahau ya kwamba siku hizi kuna degree na first class nyingi tu za chupi, wasomi wengi huko wanajua kukariri lakni kwenye kupambanua mambo ya msingi ni weupe yaani unaona bora hata raia wa kawaida wa mtaani wanaweza jenga hoja na kutetea hoja tofouti na hao wanoitwa vipanga wa chuo kikuu.
Acha kudhalilisha wanawake.Za chupi kwani umeona kuna siku wanawake wamekuwa kwenye hizo kamati au wewe unaota tu.Dont generalize your statement.Kwendraa huko.Nipe jina la mwanamke aliyewekwa kwenye hizo kamati
 
Mfano ni sheria za Uchaguzi hasa Serikali za Mitaa.
Kama kile kipengele cha elimu aliyonayo mgombea!
Sasa hivi tuna vijana wasomi chungu mbovu, kwa nini kiwango cha elimu cha anayeomba nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji au Mtaa kisianzie kidato cha nne? Hapo nako huoni mapungufu ya viongozi hawa wa mitaa katika majadiliano ya wawekezaji wa ndani kwenye mitaa yao?
 
Kwenye bunge la mh. Ndugai, wabunge wa upande wake wanapewa muda mrefuu kusifia tuu na kuponda wapinzani. Mbona hoja za upande mwingine lazima zihaririwe kabla ya kuwasilishwa? Kama anataka wenye upeo mkubwa kutuwakilisha kwenye majadiliano na wageni, basi tuanzie na bunge linalosikiliza pande zote bila upendeleo.
 
Mungu wangu! Hako kwa wahandisi ni kakozi tena kanasomwa semister moja

Unaijua hiyo Kozi lakini?

unajua kanuni za Chuo kikuu kiulimwengu mwanachuo anapaswa asome kozi ngapi kwa semister?
 
Mfano ni sheria za Uchaguzi hasa Serikali za Mitaa.
Kama kile kipengele cha elimu aliyonayo mgombea!
Sasa hivi tuna vijana wasomi chungu mbovu, kwa nini kiwango cha elimu cha anayeomba nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji au Mtaa kisianzie kidato cha nne? Hapo nako huoni mapungufu ya viongozi hawa wa mitaa katika majadiliano ya wawekezaji wa ndani kwenye mitaa yao?
Yeye mwenyewe Ndugai pale chuoni alikuwa below average.
 
Mfano ni sheria za Uchaguzi hasa Serikali za Mitaa.
Kama kile kipengele cha elimu aliyonayo mgombea!
Sasa hivi tuna vijana wasomi chungu mbovu, kwa nini kiwango cha elimu cha anayeomba nafasi ya Mwenyekiti wa Kijiji au Mtaa kisianzie kidato cha nne? Hapo nako huoni mapungufu ya viongozi hawa wa mitaa katika majadiliano ya wawekezaji wa ndani kwenye mitaa yao?
Aste aste Lil, kama Mungu alivyowaacha wana wa Islael waliotoka utumwani wafe kwanza pale Jangwani ili kupata clean shit [emoji23], hata sisi tunasubiri kwanza wale std7 wapotee kwanza.

By the way, mtu wa Kidato cha nne anayejielewa hawezi kugombea pale kwakua hamna mshahara vinginevyo awe mwenye vyanzo vingine vya mapato au aende pale kutegemea dili.
 
Back
Top Bottom