Nani mwenye bajeti wilayani?DC ni msimamizi wa sera tu (cheo cha kisiasa tu ) ila hana bajeti yoyote .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani mwenye bajeti wilayani?DC ni msimamizi wa sera tu (cheo cha kisiasa tu ) ila hana bajeti yoyote .
wewe ni mwehu,kwani ofisi ya mbunge ina bajeti ya miradi?Kwani kuwa spika sio legacy ?
Mhh...? ofisi ya DC haina bajeti yeyote ya kutekeleza miradi kama hiyo, Sana Sana labda angekuwa mkurugenzi.
unajua bajeti ya mfuko wa jimbo?unajua kama inaweza kujenga madarasa mawili tu kwa mwaka? Mbunge kazi yake na madiwani ni kupiga domo hela za miradi zipelekwe kwa mkurugenzi kulingana na bajeti. Sasa kama Lissu kapiga domo hela hazijaletwa unataka akazichote hazina akimbie?Mfuko wa jimbo ni bajeti ya nini kwani ?
Hawezi kujibu huyo, yeye anachukua ni chadema, lisu, mbowe, lema nkHebu tumia upuuzi wako kuonyesha alichofanya Mwigulu, Kingu, Mbunge wa Bahi hata Kongwa kwenyewe. Nenda mpaka Urambo au Chato kabla ya dikteta kuiba hela na kupeleka kwao.
Tafuteni mzizi wa tatizo sio kujipaka kinyesi. Nimekuuliza dikteta kusema hakupeleka maendeleo kwenye majimbo ya upinzani alimaanisha nini,hujajibu umebaki kukenua tu
Kwa hiyo kuwa spika pekee ndio unasema inatosha kuwa legacy??? Nyie watoto naona mmeamua kubadili maana ya neno legacy simply because mnataka kusifia mambo ya Meko, anyway asiyejua maana haambiwi maana.Kwani kuwa spika sio legacy ?
Mhh...? ofisi ya DC haina bajeti yeyote ya kutekeleza miradi kama hiyo, Sana Sana labda angekuwa mkurugenzi.
Bashiru mmemalizqna naye? Au kawashinda?Legacy ya lisu ni kuolewa ubelgiji
Ya kwako ni "kulala sebuleni kwa shemeji " mwaka wa 10 huu huku dada yako akisuguliwa morning glory unaskilizia tu kwa mlangoni sauti inavyotoka kama ngoma ya mnanda.Legacy ya lisu ni kuolewa ubelgiji
Apeleke maji kwani yeye ndie anayekusanya Kodi!?Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Nduuu gayLeo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
hivi unajibizana na MATAGA aliyesema ameongea na JPM kwamba tuchape kazi kumbe mtu kisha REST in peace.Apeleke maji kwani yeye ndie anayekusanya Kodi!?
Sera zinatungwa ccm,wabunge wengi wa ccm,TRA ya ccm,wakurugenzi wa halmashauri wote ccm,harafu unataka Mbunge apeleke maji!hakuna msjimbo maskini kama ya Mtwara!ukianzia mtama kwa nape na membe,ufukara mtupu!
Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
ImejifafanuaFafanua