Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!

Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!

My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.

Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Ndungai akakojowe akalale
 
Ndugai ni mwizi tu huyo hana lolote, alituibia pesa nyingi sana kipindi ameenda India kutibiwa hadi akaomba apatiwe kinga feki imlinde dhidi ya maovu kama hayo.
 
Hoja ya spika ni dhaifu! Hayati baba wa taifa Mwl. Nyerere alikaa madarakani miaka 25 vipi aliiachaje butiama? Mbona hata barabara za lami tu pale Musoma zilikuja kujengwa na Mkapa!
Kwanza wapinzani sio wa kulaumiwa kwa lolote maana tumeshuhudia kuchakutwa, kama si kukimbizana na virungu vya polis, basi watakuwa mahakamani kwa zile kesi tulizozizowea huku na wenye mamlaka wakisisitiza hawawezi kupeleka maendeleo walipochagua mpinzani, Je mlitaka hiyo miradi akajenge kwa fedha za familia yake???
 
Ndugai ameacha legacy gani Kongwa alikotawala wajinga wenzake kwa nusu karne?
 
Huyo mgalilaya wa kongwa yeye ameacha legacy gani hapo jimboni kwake zaidi ya Ile ya kupiga marungu wagombea wenzake.
 
Magufuli ndio aliunda genge lake la wauaji ili kuwauwa wote wasiokubaliana naye na wala hilo halina ubishi kitu kilicho mchukiza kabisa Mwenyezi Mungu na akaamua kumuondoa duniani.

This is the bitter truth that the likes of you (Boot Lickers) don't like to hear.

Jiwe alisahau kuwa muosha huoshwa na Mungu hapangiwi
 
Hivi huyu bwana hana kazi nyingine hapo Bungeni? anahangaika tu ooh Mbowe ooh Lema ooh Lisu , huyu jamaa vipi? kwakweli hapa tumepatikana , mambo yamaana hayaguswi hata kidogo hii ni takataka kabisa
Siasa ni mchezo wa ajabu. Humo vijembe ni sawa, kejeli ni sawa, uongo ni sawa lakini ukweli ni adimu na aghalabu!
 
Ukifika kongwa utashangaaa mwenyewe

Ova
Kuna nini maana hata nilipita kwenda mpwapwa sijaona kitu zaidi ya shida tupu. Barabara ni tatizo kubwa, maji nayo shida mtu amekaa jimboni mwaka wa ishirini na kitu mpaka sasa
 
Lissu sijui ali kugongea mke maana hizi chiki zime zidi kila saaa tu Lissu lissu ebu tuachie Rais wetu bhana!!!
 
Kuna nini maana hata nilipita kwenda mpwapwa sijaona kitu zaidi ya shida tupu. Barabara ni tatizo kubwa, maji nayo shida mtu amekaa jimboni mwaka wa ishirini na kitu mpaka sasa
Eeeeh Kongwa kunani kule
OIP.jqCWm1eLt4YRzRKELWUCWQHaEn
 
Hoja ya spika ni dhaifu! Hayati baba wa taifa Mwl. Nyerere alikaa madarakani miaka 25 vipi aliiachaje butiama? Mbona hata barabara za lami tu pale Musoma zilikuja kujengwa na Mkapa!
Kwanza wapinzani sio wa kulaumiwa kwa lolote maana tumeshuhudia kuchakutwa, kama si kukimbizana na virungu vya polis, basi watakuwa mahakamani kwa zile kesi tulizozizowea huku na wenye mamlaka wakisisitiza hawawezi kupeleka maendeleo walipochagua mpinzani, Je mlitaka hiyo miradi akajenge kwa fedha za familia yake???
Na barabara ya lami haipiti butiama, inapita kiabakari.
 
Angalia hata mnavyoandika kukalilishwa ndio nini, nyie wote elimu zenu na huyo Jobo sawasawa hakuna mtu mwenye akili anayemfagilia Ndugwayi never on earth
Legacy ya Ndugway jimboni mwake ni kumpiga rungu yule mpinzani wake mpaka akazimia!
 
..hili suala walaumiwe serikali na ccm / chama tawala.

..pia Spika alipaswa kumhoji Miraji Mtaturu ambaye kabla ya kuwa mbunge alikuwa mkuu wa wilaya.

..kwanini Mtaturu alipokuwa DC alishindwa kupeleka maji ktk wilaya yake?
 
Back
Top Bottom