Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

Kwani kuwa spika sio legacy ?


Mhh...? ofisi ya DC haina bajeti yeyote ya kutekeleza miradi kama hiyo, Sana Sana labda angekuwa mkurugenzi.
wewe ni mwehu,kwani ofisi ya mbunge ina bajeti ya miradi?
 
ndugai wewe ndie uliacha legacy ya hovyo kabisa bungeni jambo ambalo halikuwahi kutokea! tena hovyo kabisa!
hata ktk jimbo lako uliacha nini? acha majigambo ya kigogo yasiyo na faida
 
Mfuko wa jimbo ni bajeti ya nini kwani ?
unajua bajeti ya mfuko wa jimbo?unajua kama inaweza kujenga madarasa mawili tu kwa mwaka? Mbunge kazi yake na madiwani ni kupiga domo hela za miradi zipelekwe kwa mkurugenzi kulingana na bajeti. Sasa kama Lissu kapiga domo hela hazijaletwa unataka akazichote hazina akimbie?

Nakukumbusha kauli ya Magu kwenye kampeni kwamba hakupeleka hela majimbo ya upinzani. Bado unamlaumu Lissu?
 
Hawezi kujibu huyo, yeye anachukua ni chadema, lisu, mbowe, lema nk
 
Kwani kuwa spika sio legacy ?


Mhh...? ofisi ya DC haina bajeti yeyote ya kutekeleza miradi kama hiyo, Sana Sana labda angekuwa mkurugenzi.
Kwa hiyo kuwa spika pekee ndio unasema inatosha kuwa legacy??? Nyie watoto naona mmeamua kubadili maana ya neno legacy simply because mnataka kusifia mambo ya Meko, anyway asiyejua maana haambiwi maana.

Kuna haja ya kuendelea kuwa na kizazi ambacho hakina uelewa wa mambo ili tuongeze tabaka kati ya wenye nacho na wasionacho ili wasionacho waendelee kutawalika kirahisi.
 
Wabunge wote wa ccm akiwemo huyo Ndungai wao wameacha Legacy gani.
 
Mpumbavu huyu alitamba enzi zake! Lkn kaja kufeli kijinga sana. Na sasa anaishi kama digidigi.
 
Legacy ya lisu ni kuolewa ubelgiji
Ya kwako ni "kulala sebuleni kwa shemeji " mwaka wa 10 huu huku dada yako akisuguliwa morning glory unaskilizia tu kwa mlangoni sauti inavyotoka kama ngoma ya mnanda.
 
Apeleke maji kwani yeye ndie anayekusanya Kodi!?
Sera zinatungwa ccm,wabunge wengi wa ccm,TRA ya ccm,wakurugenzi wa halmashauri wote ccm,harafu unataka Mbunge apeleke maji!hakuna msjimbo maskini kama ya Mtwara!ukianzia mtama kwa nape na membe,ufukara mtupu!
 
Nduuu gay
 
hivi unajibizana na MATAGA aliyesema ameongea na JPM kwamba tuchape kazi kumbe mtu kisha REST in peace.
 
 
Hamna hata mmoja anayekumbuka kwamba Lisu alishawahi kuwa mbunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…