Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
-
- #141
Usinitoe kwenye mstari.Nahamisha magoli, kwani ww hujui kwamba mimi sikubaliani na hilo bunge kwa jinsi lilivyopatikana? Sasa unataka niamini taasisi ambayo ni zao za wizi wa kura, ndio nitegemee uadilifu kwao?
... ujuha huu ulifungwa rasmi 17.03.Amejisahau tu, au Labda alisahau dawa zake asubuhi! Utamaduni wa kusema nchi wahisani ni mabeberu eti, Tupo kwenye vita ya uchumi, umeisha kama wiki mbili zilizopita!
Hata mimi nilimsikiliza Mbowe na nikarudia tena na tena. Hotuba yake haikujikita kabisa kwenye taarifa ya CAG. Ndugai angesema Zitto hapo sawa. Ndugai ana chuki binafsi na Mbowe. Kila mwenye akili timamu ya kuchambua bunge letu hili atakubali kuwa Ndugai ameliuwa bunge hili kabisa. Bunge ambalo kimsingi kazi yake ni kutunga sheria na kuisimamia serikali limegeuka kuwa mhuri wa serikali. Bunge limekuwa chama cha siasa likipitisha hoja za kisiasa bila kujali kazi na wajibu wake.Ndugai yuko sahihi.
Mbowe amechambuliwa huko ulaya taarifa ya CAG akameza anakuja kujiropokea hapa Bongo.
Kwa tunaojua mambo ya kihasibu hatushangai na hua hatukurupukii taarifa ya CAG maana mkaguzi asipoelewa kitu basi hukibeba kama kilivyo kwenye report yake.
Ndio maana cases nyingi ambazo hua CAG anataja, watuhumiwa wakiitwa kwenye kamati za Bunge hua majibu yanatolewa na baadae zinaonekana hazina msingi.
Sasa Mbowe ametafsiriwa report na wazungu huko anakuja kujiropokea tu hapa.
Job ana chuki binafsi kwa Aikael!Huu ndiyo ukweli, leo spika Ndugai amesema Mbowe ametumwa kuja kuharibu riport ya CAG na kwa kwasababu alikuwa ulaya bila shaka bado Ndugai anaamini katika UBEBERU. Jambo la kusikitisha pia Ndugai ameshindwa kujibu hoja za taasisi ya CHADEMA bali amemuatack Mbowe personaly, na huu ni udhaifu mkubwa. Binafsi naamini uharibifu wa katiba na mambo yaliyotokea uchaguzi mkuu yalikuwa engineered Ofisini kwa Ndugai.
DHAIFU SANA!!!Sasa amejuaje kama inapotoshwa wakati yeye hajaisoma, hajui chochote na hao wabunge wanaounda LAAC na PAC hawajaichambua?
Ndugai ni Speaker wa HOVYO sana kuwahi kutokea katika historia ya Bunge letu tukufu. Ameiharibu sana taswira ya Bunge na sasa kila zuzu yeyote anatamani kuingia kule
Mkuu Mungu atupe nini tena?! Sasa hivi tuseme Never Again!!... ujuha huu ulifungwa rasmi 17.03.
Utaukuta ubongo kweli?? 😅Ndugai sijui ni kiongozi wa aina gani, wish ningekuwa na uwezo nimfumue kile kichwa niangalie ubongo wake ukoje.
Kwani boss wenu alitumia dawa gani hadi ikamzuru?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo kazi yako ya kumramba miguu mecoView attachment 1750238
Akina ndugai bado wapo, watakubali?Mkuu Mungu atupe nini tena?! Sasa hivi tuseme Never Again!!
Mbowe ni mnafiki ,mwizi na wakala wa mabeberu.Huu ndiyo ukweli, leo spika Ndugai amesema Mbowe ametumwa kuja kuharibu riport ya CAG na kwa kwasababu alikuwa ulaya bila shaka bado Ndugai anaamini katika UBEBERU. Jambo la kusikitisha pia Ndugai ameshindwa kujibu hoja za taasisi ya CHADEMA bali amemuatack Mbowe personaly, na huu ni udhaifu mkubwa. Binafsi naamini uharibifu wa katiba na mambo yaliyotokea uchaguzi mkuu yalikuwa engineered Ofisini kwa Ndugai.
Sema Ndugai ana ashki majnuni!Ndugai atakuwa majinuni
Suala la Mtu kuwepo au kwenda zake ni la Mungu, Sisi tufanye yetu tu!!Akina ndugai bado wapo, watakubali?
Taalumayako pleaseMbowe ni mnafiki ,mwizi na wakala wa mabeberu.
Uzuri ni kaamba hatapenya na chama lake limeshajifia.
Ni sehemu gani katika hotuba ya Mh. Mbowe ametaja ripoti ya CAG? Huyu mbilikimo wenu wadudu wameshapanda kichwani anajiropokea tu, na wewe ulivyo kilaza umemeza matapishi yake. Ndungai anateseka na roho yake ya usaliti na unafiki iliyojitokeza katika msimamo wake wa sasa juu ya mradi wa Bandari ya Bagamoyo. Aibebe mwenyewe aibu yake.Ndugai yuko sahihi.
Mbowe amechambuliwa huko ulaya taarifa ya CAG akameza anakuja kujiropokea hapa Bongo.
Kwa tunaojua mambo ya kihasibu hatushangai na hua hatukurupukii taarifa ya CAG maana mkaguzi asipoelewa kitu basi hukibeba kama kilivyo kwenye report yake.
Ndio maana cases nyingi ambazo hua CAG anataja, watuhumiwa wakiitwa kwenye kamati za Bunge hua majibu yanatolewa na baadae zinaonekana hazina msingi.
Sasa Mbowe ametafsiriwa report na wazungu huko anakuja kujiropokea tu hapa.
Huyo ni wa kumsamehe tu maana hajitambui.Huu ndiyo ukweli, leo spika Ndugai amesema Mbowe ametumwa kuja kuharibu riport ya CAG na kwa kwasababu alikuwa ulaya bila shaka bado Ndugai anaamini katika UBEBERU. Jambo la kusikitisha pia Ndugai ameshindwa kujibu hoja za taasisi ya CHADEMA bali amemuatack Mbowe personaly, na huu ni udhaifu mkubwa. Binafsi naamini uharibifu wa katiba na mambo yaliyotokea uchaguzi mkuu yalikuwa engineered Ofisini kwa Ndugai.