johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani anawajua?!Kwanini asiwatoe nje?
Kwani anawajua?!Kwanini asiwatoe nje?
Mie siamini kuwa bunge linashindwa kuwapima wabunge wake, eti hadi kujihisi, ni hatari!Wengine hawana dalili ila wanaambukiza tu. Hapo ndo kwenye Puzzle yenyewe. Cha muhimu wapimwe tu kwanza.
Wanabana matumizi ya vipimo.Mie siamini kuwa bunge linashindwa kuwapima wabunge wake, eti hadi kujihisi, ni hatari!
Kuwapima wabunge wote ni njia nzuri ya kujua ukubwa wa tatizo nchini na wale positive watakaa umwali kupunguza ukubwa wa tatizoKwanini wasiwapime wote? Kusubiri mpaka mbunge aonyeshe dalili si atakua kambukiza wengi
Kwanin serikali ya awamu ya tano hainunui magari ya vipimo mengi iwezekanavyo kama south afrika ili watupime kwa wengi iwezekanavyo mtaani?
Rais wetu wa wanyonge yupo wapi? Yeye ndio mfariji wa taifa, tunaitaji kusikia sauti yake ya faraja ikiwezekana kila siku itwapo leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kupimwa hakusaidii. Tena kunaleta confidence mbaya na ya hatari ambayo inaweza kusababisha maambukizi zaidi. Imagine mtu akipima leo akikutwa hana kumbe wale virus aliambukizwa siku moja au mbili zilizopita? Nikupe mfano mmoja. Ndege ya mwisho ya Kenya Airways kutoka USA kabla hawajasitisha safari za USA ilirushwa na rubani mmoja anaitwa Daudi Kibati.Wengine hawana dalili ila wanaambukiza tu. Hapo ndo kwenye Puzzle yenyewe. Cha muhimu wapimwe tu kwanza.
hao besti wanaitwa 'superspreader' kuna waliotoka nayo swiss alps January wakarudi Norway wameambukiza balaa. Wahanga wanadai wanafeel vitu kama vipande vya chupa vinasimikwa na kuchomekwa kooni na mapafuni.Wengine hawana dalili ila wanaambukiza tu. Hapo ndo kwenye Puzzle yenyewe. Cha muhimu wapimwe tu kwanza.
Hao ndo wakuogopa zaidi. Ndo umuhimu wa security distance unakuja. Kukaa mbali na binadamu mwenzako.hao besti wanaitwa 'superspreader' kuna waliotoka nayo swiss alps January wakarudi Norway wameambukiza balaa. Wahanga wanadai wanafeel vitu kama vipande vya chupa vinasimikwa na kuchomekwa kooni na mapafuni.
Security distance?!Hao ndo wakuogopa zaidi. Ndo umuhimu wa security distance unakuja. Kukaa mbali na binadamu mwenzako.