Spika Ndugai: Mbunge yoyote anayejihisi ana dalili za Corona ajifanyie Self Isolation na kuripoti hospitali haraka sana!

hao besti wanaitwa 'superspreader' kuna waliotoka nayo swiss alps January wakarudi Norway wameambukiza balaa. Wahanga wanadai wanafeel vitu kama vipande vya chupa vinasimikwa na kuchomekwa kooni na mapafuni.

Toba
Sasa humo bungeni wazee hao watamudu hayo
Wanaona kama movie shauri zao


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hii ndiyo njia sahihii ya kufuatwa kwa usalama wa dunia
 

Posho zinahatarisha usalama wao.
 
Noma sana....

Majority ya wabunge kama hana hypertension, basi atakuwa na kisukari; na tabia zao za kihuni hawakosagi na ngoma. Watakwisha wakifanya mchezo
 
Posho mbaya sn.......wabunge wa ccm wapo wanagawana pesa iliyokua iwe matibabu ya Lissu. Ndugu ai ana laana kuu.....
 
Jirani hapo kafa mwana michezo wa zamani hapo kwao pako wazi majirani wanaingia na kutoka bodaboda zinabeba watu, jumapili ibadani wote watakuwepo.

Hata serikali ya mtaa hata kuu iko kimya.

Serikali imetuchoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wabunge wanajimwambafy wao wapo juu ya sheria, ni kwann wenyewe hawawekwi karantini??
wao ni nani kuliko watz wengine??
kama ni shule wengi wetu huku kitaa tumewazidi...who are they???.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu wakikatisha vikao warudi tu mtaani? Hoja ya raia hapo wanataka wabunge wote wawekwe quarantine kwa siku 14 huku wakiendelea kupimwa! Hapo nawaelewa hao raia na mapendekezo yao!
 
Kwanini wasipimwe Hadi wasubiliwe kusema wenyewe hii mbona sisawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…