Spika Ndugai: Mbunge yoyote anayejihisi ana dalili za Corona ajifanyie Self Isolation na kuripoti hospitali haraka sana!

Kama spika na bunge lake hawajitambui, hawajui wafanye nini kwneye kipindi cha korona.
Yani wote ni trash.
Wanaisikilizia korona kweli?
Kwa hio haya mataka taka. Mnategemea yafanye jambo lenye manufaa kwa wananchi kweli?

 
Dodoma kumejaa taka taka trash. 🗑 ndio masna hawawezi kuisimamia Serikali. Sioni faida ya bunge kama Rais ndio anaea control. Ana budget ana plan. Anasema mipaka ifungwe au isifungwe. Hapo bunge lenyewe limejaa viazi.

Na rais mwenyewe ndio huyo kashajificha mnategemea nini cha maana zaidi.
Rais kakaa kimya anasubiri watu wafe apewe idadi
 
Nina wasiwasi na huko Ku test test,nako kunawezakuwa ni tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…