Mpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke.
Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao.
Utaratibu wenyewe anautoa baada ya miezi 6Me nafikir ifikie wakat mambo ya kiofisi yapelekwe kwa taratibu za kiofisi, na hyo ndio professionalism.
Hivi spika aliwajibu CHADEMA ya kuwa barua waliyoiandika haikua barua ila kimemo?
Hivi taratibu alizozizungumzia na anazoendelea kuzizungumzia ya kwamba CHADEMA imewapasa kuzifuata anawaelekeza anapokua katika kiti chake Bungeni au amewaandikia official letter ili kuwajuza viongozi husika?
Bwana Job Ndugai, Bungeni sio sehemu ya kufanyia taarabu na propaganda. Waeleze hayo yote kupitia official letter na sio Bungeni!
Kilichokuwa kinawalinda kimeondoka ndio maana hoja imeibuka sasaivi labda ukitaje, nchi 8ilikuwa inaendeshwa kihuni, iweje Mbowe na kamati yake wawateue kabla ya kuapishwa watanganze kuwafukuzasawa kabisa kuna watu wanajuwa mbowe anajuwa na hata hao kina halima kwa hali ya kawaida tu manneno yote haya wangekuwa wamesha resign kuna kitu wanajuwa kinawalinda
Spika ni vizuri ajue kwamba CDM ina mbunge mmoja tu wakuchaguliwa na wananchi, na katika viti maalum CDM kwa maelezo yao ni kwamba hawaja teua wala kumuidhinisha yeyote katika nafasi hizo, na fomu kutoka tume ya taifa ya uchaguzi bado zipo mezani pa katibu mkuu wa chama na hazija jazwa. Kwa maana hiyo CDM iliwafukuza uanachama wale walio patikana na makosa kwa mujibu wa taratibu zao za kichama. Hivyo si sahihi mtu kusema kwamba CDM imefukuza/imewavua uanachama wabunge wake.Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki.
Mh Spika amevitaka vyama vya siasa pale wanapotaka kuwavua uanachama wabunge yawapasa kuambatanisha Katiba ya chama chao pamoja na Muhtasari wa Kamati Tendaji ya chama iliyofanya maamuzi ya kuwavua uanachama wabunge wanaopaswa kuwafukuza ili naye apate kujilidhisha kama utaratibu ulifuatwa na atende haki pasi kumuonea mtu yeyote.
Mh Spika ameongeza kuwa kwa mujibu uo atafanyakazi pia na msajiri wa vyama vya siasa maana yeye ndo ana Katiba za chama na kila wanapofanya mabadiliko ya Katiba kwenye vyama ua anapelekewa nakara za katiba ambazo ni latest.
Mh Spika amemalizia kwa kuhoji kwanini Chadema hawapeleki hizo nakala? Wanaogopa nini?
Kwani tatizo ni cdm au bunge? Kama cdm hakikuidhinisha majina ya wabunge hao kwenda bungeni anahitaji viambatanisho vya nini? Cdm na nyie kwanini mjenge hoja ya visababishi badala ya kujikita ktk uhalali wa nyaraka zilizowaidhinisha wabunge hao kushiriki bunge!!!!!!???? HOJA IANZIE HAPAMpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke.
Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao.
Kwani tatizo ni cdm au bunge? Kama cdm hakikuidhinisha majina ya wabunge hao kwenda bungeni anahitaji viambatanisho vya nini? Cdm na nyie kwanini mjenge hoja ya visababishi badala ya kujikita ktk uhalali wa nyaraka zilizowaidhinisha wabunge hao kushiriki bunge!!!!!!???? HOJA IANZIE HAPA
Sheria inasema ukishavuliwa uanachama na ubunge unakomaMpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke.
Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao.
Hakuna viambatanishi.Huenda Ndugae aliwapa ubunge bila viambatanishiKwani ni nani aliwateua kuwa wabunge?
Ndugai ana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kujenga hoja pengine top ten ya watu makini bungeni yumo...
Wanamjua ndo mana wanaogopa kumvaa kichwa kichwa
Sheria inasema ukishavuliwa uanachama na ubunge unakoma
Anzia hapo kwanza utaona hakuna muujiza wowote wa kuwafanya wale warndelee kubak8 bungeni mbali ya ubabe
Sasa aiombe Tume impe uthibitisho kuonesha majina aliyoletewa yalipendekezwa na CHADEMA.Alishasema majina aliletewa na tume
Mahakama hizi masalia ya marehemu, ni kupoteza muda. CHADEMA wasiyumbishwe wala kupotezewa muda na mtu wa akili kibaba, unafiki, gunia.Na nyie chadema si muende mahakaman kuomba tafsiri? Sasa Tweeter na Jf vitasaidia nn?
Viongozi wenu wanajua kila kitu walichofanya
Barua ilieleza kuwa CHADEMA haiwatambui hao Covid 19:Kwani barua waliyopeleka Bungeni ilikuwa ya kukana kuwa hawajapeleka majina NEC au ilikuwa ya kumtaarifu Spika kuwa ao watu waliopo humo Bungeni tumewafuta uanachama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bashite huna akiliNdugai anajiamini sana inaonekana kuna kitu anakijua na mkiendelea kumtukana kuna siku atakisema.
Tatizo misukule ya chadema tukisema hili chezo Mbowe na Mnyika wanalijua hamtaki kuelewa, ndio maana wenzenu waliwaita nyumbu!
PoleBashite huna akili