Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

Mpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke.

Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao.

Ndugai ana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kujenga hoja pengine top ten ya watu makini bungeni yumo...

Wanamjua ndo mana wanaogopa kumvaa kichwa kichwa
 
Kwanin waliapishwa nyumbani kwake?? je nani alipeleka majina kwa tume ya uchaguzi ? je aliyekuwa gerezani ilikuwaje akatoka then akateuliwa kuwa mbunge kwa siku hiyohiyo, je ni Mbowe au kamati ya Chadema? Spika anapaswa kujibu maswali yote hayo.
 
Me nafikir ifikie wakat mambo ya kiofisi yapelekwe kwa taratibu za kiofisi, na hyo ndio professionalism.

Hivi spika aliwajibu CHADEMA ya kuwa barua waliyoiandika haikua barua ila kimemo?

Hivi taratibu alizozizungumzia na anazoendelea kuzizungumzia ya kwamba CHADEMA imewapasa kuzifuata anawaelekeza anapokua katika kiti chake Bungeni au amewaandikia official letter ili kuwajuza viongozi husika?

Bwana Job Ndugai, Bungeni sio sehemu ya kufanyia taarabu na propaganda. Waeleze hayo yote kupitia official letter na sio Bungeni!
Utaratibu wenyewe anautoa baada ya miezi 6
 
sawa kabisa kuna watu wanajuwa mbowe anajuwa na hata hao kina halima kwa hali ya kawaida tu manneno yote haya wangekuwa wamesha resign kuna kitu wanajuwa kinawalinda
Kilichokuwa kinawalinda kimeondoka ndio maana hoja imeibuka sasaivi labda ukitaje, nchi 8ilikuwa inaendeshwa kihuni, iweje Mbowe na kamati yake wawateue kabla ya kuapishwa watanganze kuwafukuza
 
Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki.

Mh Spika amevitaka vyama vya siasa pale wanapotaka kuwavua uanachama wabunge yawapasa kuambatanisha Katiba ya chama chao pamoja na Muhtasari wa Kamati Tendaji ya chama iliyofanya maamuzi ya kuwavua uanachama wabunge wanaopaswa kuwafukuza ili naye apate kujilidhisha kama utaratibu ulifuatwa na atende haki pasi kumuonea mtu yeyote.

Mh Spika ameongeza kuwa kwa mujibu uo atafanyakazi pia na msajiri wa vyama vya siasa maana yeye ndo ana Katiba za chama na kila wanapofanya mabadiliko ya Katiba kwenye vyama ua anapelekewa nakara za katiba ambazo ni latest.

Mh Spika amemalizia kwa kuhoji kwanini Chadema hawapeleki hizo nakala? Wanaogopa nini?

Spika ni vizuri ajue kwamba CDM ina mbunge mmoja tu wakuchaguliwa na wananchi, na katika viti maalum CDM kwa maelezo yao ni kwamba hawaja teua wala kumuidhinisha yeyote katika nafasi hizo, na fomu kutoka tume ya taifa ya uchaguzi bado zipo mezani pa katibu mkuu wa chama na hazija jazwa. Kwa maana hiyo CDM iliwafukuza uanachama wale walio patikana na makosa kwa mujibu wa taratibu zao za kichama. Hivyo si sahihi mtu kusema kwamba CDM imefukuza/imewavua uanachama wabunge wake.
 
Safi sana !

Tujue kwanza, waliingiaje Bungeni? Nimemsoma JJ Mnyika akisema CDM hawajapelea majina !!!
Ameitaka Tume ya uchaguzi ieleze nani amesaini ile barua

Nadhani Spika aanzie hapo, halafu wanabaki au wanatokaje ni suala jingine

JokaKuu BAK
Spika anadhani watu wote ni wahuni
 
Mpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke.

Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao.
Kwani tatizo ni cdm au bunge? Kama cdm hakikuidhinisha majina ya wabunge hao kwenda bungeni anahitaji viambatanisho vya nini? Cdm na nyie kwanini mjenge hoja ya visababishi badala ya kujikita ktk uhalali wa nyaraka zilizowaidhinisha wabunge hao kushiriki bunge!!!!!!???? HOJA IANZIE HAPA
 
Watanzania wapenda haki na waumini wa utii wa Sheria na katiba kwanini tunakubali kucheza ngoma ya Job!!!!?? Hoja ya msingi ianzie hapa.... NI NANI aligushi nyaraka za kuwapeleka kina Halima bungeni km cdm wanavyodaiii!!!!!?? Kama ni viambatanisho vianzie hapo. Job asitutoe ktk hoja ya msingi
 
Kwani tatizo ni cdm au bunge? Kama cdm hakikuidhinisha majina ya wabunge hao kwenda bungeni anahitaji viambatanisho vya nini? Cdm na nyie kwanini mjenge hoja ya visababishi badala ya kujikita ktk uhalali wa nyaraka zilizowaidhinisha wabunge hao kushiriki bunge!!!!!!???? HOJA IANZIE HAPA

Wanajua nyaraka ni halali ila majina yalikwenda hayakuwa kwenye nyaraka hizo hahahaha
 
Mpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke.

Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao.
Sheria inasema ukishavuliwa uanachama na ubunge unakoma
Anzia hapo kwanza utaona hakuna muujiza wowote wa kuwafanya wale warndelee kubak8 bungeni mbali ya ubabe
 
Ndugai ni kituko bungeni asubiri tu jibu lake soon
 
Ndugai ana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kujenga hoja pengine top ten ya watu makini bungeni yumo...

Wanamjua ndo mana wanaogopa kumvaa kichwa kichwa

Sana tena sana
 
Sheria inasema ukishavuliwa uanachama na ubunge unakoma
Anzia hapo kwanza utaona hakuna muujiza wowote wa kuwafanya wale warndelee kubak8 bungeni mbali ya ubabe

Kwanini wamevuliwa uanachama?
Kama Spika hawez kulinda wabunge wake basi kila siku mtu akikutongoza ukikataaa anakuvua uanachama ukose ubunge

Chadema walichanga karata zao vibaya na hapo ndio spika alipowabana
 
Na nyie chadema si muende mahakaman kuomba tafsiri? Sasa Tweeter na Jf vitasaidia nn?

Viongozi wenu wanajua kila kitu walichofanya
Mahakama hizi masalia ya marehemu, ni kupoteza muda. CHADEMA wasiyumbishwe wala kupotezewa muda na mtu wa akili kibaba, unafiki, gunia.
 
Kwani barua waliyopeleka Bungeni ilikuwa ya kukana kuwa hawajapeleka majina NEC au ilikuwa ya kumtaarifu Spika kuwa ao watu waliopo humo Bungeni tumewafuta uanachama?

Sent using Jamii Forums mobile app
Barua ilieleza kuwa CHADEMA haiwatambui hao Covid 19:

1) Chama hakijawahi kumpendekeza yeyote kuwa mbunge wa viti maalum
2) kwa kuwa wameshiriki katika uovu, chama kimewavua uanachama.
 
Ndugai anajiamini sana inaonekana kuna kitu anakijua na mkiendelea kumtukana kuna siku atakisema.

Tatizo misukule ya chadema tukisema hili chezo Mbowe na Mnyika wanalijua hamtaki kuelewa, ndio maana wenzenu waliwaita nyumbu!
Bashite huna akili
 
Spika wa aibu!! Binge dhaifu!! Inafahamika wazi mchezo ulifanyika kuwapa ubunge cov.19!!! wengine wakatolewa jela chapu nakupewa ubunge direct! Nimtu mjinga sana asiyeelewa has a tukihusianisha na wale wa Cuf aliokubali haraka kuwafuta! Leo anawajali wabunge wa upinzani lakini alishindwa kumjali Lissu aliyekoswakoswa kuuawa kazini!! alimfukuzia mbali bila aibu...alafu utamkuta mbele kanisani akikomunika tena wanaweza kumpa na uzee wa kanisa!!! Cdm wamwachie kisasa mwenyezi Mungu
 
Back
Top Bottom