Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

hivi mbona hamna akili nyie documents za nini? barua ya kuwateua waliipata wapi waeleze hilo kwanza
Kuwa ama kutokuwa na akili ni subjective. Mimi mwenyewe nakuona wewe kama chizi tu.

Hivi hata unaelewa process ya kupata majina ya wabunge wa viti maalumu na yanafikaje kwa speaker?
 
Ndugai, ulipokea barua ya Chadema, sasa kama hukuridhika nayo au kama ulikuwa unataka ufafanuzi ulipaswa kuijibu barua yao na si kuidharau, maana kuna ishu nzito ya kikatiba katika suala hilo, hupaswi kukaa kimya bila kuijibu!
 
Political intel inabainisha kuwa shinikizo la kisiasa dhidi ya Joab (Ayubu) Eusto Ndugai linaongezeka kila siku.
 
Tuachane na sakata la kuvuliwa Ubunge, hoja ni nani aliwateua kuwa wabunge wa viti maalumu? Katibu Mkuu wa CHADEMA ameweka wazi kitabu cha kusaini upokeaji nyaraka NEC, anauliza nani aliwasilisha yale majina NEC? Hii ndiyo hoja Spika anapaswa ajibu....
Acha umburura wewe. Ndugai anasema na alishaonyesha barua kutoka NEC inayowatambulisha hao wabunge 19. Sasas hiyo yeye Ndugai inamuhusu nini? Kwa nini Ndugai atilie shaka barua official aliyoletewa na NEC uteuzi wa hao akinamama?
 
Tuachane na sakata la kuvuliwa Ubunge, hoja ni nani aliwateua kuwa wabunge wa viti maalumu? Katibu Mkuu wa CHADEMA ameweka wazi kitabu cha kusaini upokeaji nyaraka NEC, anauliza nani aliwasilisha yale majina NEC? Hii ndiyo hoja Spika anapaswa ajibu....
Mburura wewe Kwa nini Ndugai ajibu suala linalohusu NEC? NEC ndio walisema walipokea barua kutoka chadema kuhusu hao wabunge na ndio wakamwandikia Ndugai barua wakiorodhesha hayo majina. Sasa Ndugai hapo unamhusishaje? Tumia akili walu kidogo kijana
 
... hata kama isingetimia sio jukumu la Ndugai yeye sio mahakama. Hayo ya akidi kutokutimia wanatakiwa wakaieleze mahakama sio Ndugai kuhoji mambo ya ndani ya chama.
Exactly
Hivi Sofia Simba alipovuliwa uanachama wake na CC ya CCM, Spika Ndugai aliomba muhtasari toka CC ya CCM??

Na je Profesa Lipumba alipowavua wale wabunge wa viti maalum, aliomba muhtasari toka kwenye kikao cha CUF kilichowavua uanachama wao??

Why Chadema pekee wanapofanya maamuzi ndipo sheria na kanuni za Bunge lake zinabadilika??

Hivi huyu Spika Ndugai haoni aibu kufanya maamuzi ya "double standards" ya kiasi hicho??
 
safi sana spika kama wanashindwa basi hawana nia ya kuwavua uanachama na kama hawaleti vielelezo basi kuna sehemu wamebugi sana wanaona wakileta tu kimewanukia siyo myika kwa kuwa aliambiwa na mdee kuwa alikuja na ndala chadema basi ndiyo anataka kumrudishia kwa hapo amenoa walete viambata
Huu utaratibu alioueleza upo kwenye nyaraka gani na ulitungwa link kwani bunge linaendeshwa kwa mujibubwa sheria,kanuni na taratibu.
Haiwezekani hata kama ni subwoofer anakurupuka tu na utaratibu wake kama bunge Mali yake binafsi.
Alianza na kusema hana taarifa ya kufutwa uanachama covid 19
Akaja na kwamba taarifa aliyoletewa kuhusu kufutwa uanachama covid ni takataka kwake
Sasahivi kajifanya kujitungia kanuni zake za vyama kufuata
Naona anatapatapa
Asipoangalia suala hili litakuja kumcost huko mbeleni
 
Hata nyie mlidharau katiba na sheria kwa kugoma kupeleka wabunge wa viti maalum wakati ni jambo la kisheria
Huna akili ndio maana jiwe aliwageuzageuza kama kambale,ni wapi katiba inalazimisha hivyo,kwenye mambo ya ushindani katiba ilazimishe?Ungekua hivyo vyama vyote vingepeleka viti maalum!!!Huu ni utashi wa taasis na mtu mwenyew.Katiba imelazimisha Mbunge yeyote lazima atokane na chama cha siasa
 
Huna akili ndio maana jiwe aliwageuzageuza kama kambale,ni wapi katiba inalazimisha hivyo,kwenye mambo ya ushindani katiba ilazimishe?Ungekua hivyo vyama vyote vingepeleka viti maalum!!!Huu ni utashi wa taasis na mtu mwenyew.Katiba imelazimisha Mbunge yeyote lazima atokane na chama cha siasa

Tatizo lenu chadema mnapenda sana mihemuko
Nenda kasome sheria ya vyama vya siasa

Yan nyie mnajiona kama ni familia ya Mbowe na mnyika tu, hamjui kama mko chini ya sheria ya vyama vya siasa chini ya jaji mutungi
 
Me nafikir ifikie wakat mambo ya kiofisi yapelekwe kwa taratibu za kiofisi, na hyo ndio professionalism.

Hivi spika aliwajibu CHADEMA ya kuwa barua waliyoiandika haikua barua ila kimemo?

Hivi taratibu alizozizungumzia na anazoendelea kuzizungumzia ya kwamba CHADEMA imewapasa kuzifuata anawaelekeza anapokua katika kiti chake Bungeni au amewaandikia official letter ili kuwajuza viongozi husika?

Bwana Job Ndugai, Bungeni sio sehemu ya kufanyia taarabu na propaganda. Waeleze hayo yote kupitia official letter na sio Bungeni!
We unajua.
 
Huyo ni Ndugai.. Ati spika wa bunge linalo tunga sheria.

Halafu yeye hajui sheria.

Kama ameleta kanuni zinaanza leo na siyo nyuma

Hivi alishindwa nini kuwa pigia Chadema simu alipo pata barua yao miezi mitano iliyo pita? Ati leo ndio ana simama na kutoa

Maelekezo ya kipuuzi?

View attachment 1776270
Bunge haliendeshwi kwa moral authority bali katiba sheria na kanuni za Bunge
 
Ndugai kajificha chini ya kivuli cha NEC maana majina ya Wabunge yanatoka NEC. Hili swali hata Ndugai mwenyewe atalirefer kwa NEC

Kwenye hayo madai ya forgery nadhani hata NEC wanaweza kujitoa ufahamu na kuitaka CHADEMA ikaithibitishe hiyo forgery kortini
Mkuu uko sahihi. Lakini lingewezekana wakati ule wa mwendazake kwani yeye alikuwa ndio kila kitu. Hivi sasa halina nafasi kwani kila kitu kiko wazi.

Ndugai siyo Mshauri wala Msimamizi wala Mlezi wa Vyama vya Siasa. Asipolitambua hilo basi kuna Mtu anakinyemelea Kiti cha Spika. Anachokifanya Mtu huyo ni kuhakikisha Ndugai anachafuka vyakitosha kisha mchakato uanze wa kutokuwa na imani nae. Kumbuka kuwa alikuwa mwendazake side.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwa sababu hujui chochote, hao kina Mbowe unawasikia tu kupitia jf, twitter n.k
Wewe ni wa kupuuzwa, wakati wengine wanaongea fact wewe umekazana na propaganda mufu.
 
Ndugai kuwa mkweli wewe unajua wazi mawasiliano ya taasis ni kwa njia ya maandishi , kiungwana ulitakiwa ujibu barua yao ukiwataka wafuate utaratibu ambao hata hivyo ndo umeuweka
 
Back
Top Bottom