LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Sio kazi ya ndugai kamwe...kwa Sofia Simba na wabunge wa cuf hatukuyasikia hayo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi?Ndio walipeleka
Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki.
Mh Spika amevitaka vyama vya siasa pale wanapotaka kuwavua uanachama wabunge yawapasa kuambatanisha Katiba ya chama chao pamoja na Muhtasari wa Kamati Tendaji ya chama iliyofanya maamuzi ya kuwavua uanachama wabunge wanaopaswa kuwafukuza ili naye apate kujilidhisha kama utaratibu ulifuatwa na atende haki pasi kumuonea mtu yeyote.
Mh Spika ameongeza kuwa kwa mujibu uo atafanyakazi pia na msajiri wa vyama vya siasa maana yeye ndo ana Katiba za chama na kila wanapofanya mabadiliko ya Katiba kwenye vyama ua anapelekewa nakara za katiba ambazo ni latest.
Mh Spika amemalizia kwa kuhoji kwanini Chadema hawapeleki hizo nakala? Wanaogopa nini?
Ndugai ni mvunja katiba tu...yes wamepeleka majina wenyewe halafu wanayakana waende mahakamani wakaseme wamefogiwa
Ndugai anajiamini sana inaonekana kuna kitu anakijua na mkiendelea kumtukana kuna siku atakisema.
Tatizo misukule ya chadema tukisema hili chezo Mbowe na Mnyika wanalijua hamtaki kuelewa, ndio maana wenzenu waliwaita nyumbu!
Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki.
Mh Spika amevitaka vyama vya siasa pale wanapotaka kuwavua uanachama wabunge yawapasa kuambatanisha Katiba ya chama chao pamoja na Muhtasari wa Kamati Tendaji ya chama iliyofanya maamuzi ya kuwavua uanachama wabunge wanaopaswa kuwafukuza ili naye apate kujilidhisha kama utaratibu ulifuatwa na atende haki pasi kumuonea mtu yeyote.
Mh Spika ameongeza kuwa kwa mujibu uo atafanyakazi pia na msajiri wa vyama vya siasa maana yeye ndo ana Katiba za chama na kila wanapofanya mabadiliko ya Katiba kwenye vyama ua anapelekewa nakara za katiba ambazo ni latest.
Mh Spika amemalizia kwa kuhoji kwanini Chadema hawapeleki hizo nakala? Wanaogopa nini?
Wapi?
Haahaa wajibu barua ya mnyikaTume
kwani chadema waliwapa ubunge? mbona mnajitoa ufaham?Mpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke.
Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao.
Barua inaandikwa kwa mkurugenzi wa uchaguzi na si kwa spikaVipi kama Ndugai ana barua rasmi ya uteuzi wa hao wabunge kutoka chadema?
Au nyie mnamuina Mbowe na Mnyika ni malaika wale?
Kwani barua waliyopeleka Bungeni ilikuwa ya kukana kuwa hawajapeleka majina NEC au ilikuwa ya kumtaarifu Spika kuwa ao watu waliopo humo Bungeni tumewafuta uanachama?Hakuna anachoelewa yule. Ni ujinga tu. Suala siyo kufukuzwa uanachama, bali CHADEMA hawakuwahi kuteua wabunge wa viti maalum. Spika aseme alipata wapi majina?
Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki.
Mh Spika amevitaka vyama vya siasa pale wanapotaka kuwavua uanachama wabunge yawapasa kuambatanisha Katiba ya chama chao pamoja na Muhtasari wa Kamati Tendaji ya chama iliyofanya maamuzi ya kuwavua uanachama wabunge wanaopaswa kuwafukuza ili naye apate kujilidhisha kama utaratibu ulifuatwa na atende haki pasi kumuonea mtu yeyote.
Mh Spika ameongeza kuwa kwa mujibu uo atafanyakazi pia na msajiri wa vyama vya siasa maana yeye ndo ana Katiba za chama na kila wanapofanya mabadiliko ya Katiba kwenye vyama ua anapelekewa nakara za katiba ambazo ni latest.
Mh Spika amemalizia kwa kuhoji kwanini Chadema hawapeleki hizo nakala? Wanaogopa nini?
JBL akikujibu unijulishe na mimiKwani ni nani aliwateua kuwa wabunge?
hivi mbona hamna akili nyie documents za nini? barua ya kuwateua waliipata wapi waeleze hilo kwanzaNdugai kauliza swali dogo tu “wanaogopa nini kuambatanisha documents?”
Jibu pekee ni kuandika barua na kuweka hizo necessary attachments badala ya kukwepa, kupanga maandamano na kumtukana Ndugai. Ni bora kuabide ili mwisho wa siku Ndugae akose options.
kwani chadema waliwapa ubunge? mbona mnajitoa ufaham?
Haahaa wajibu barua ya mnyika
Issue sio huko nyuma ila yeye anaongoza kwa sheria, kanuni na hekima pia hivo basi wataoluja huko mbele kuwa Maspika watamrefer pia Ndugai kuwa unapofukuza mwanachama ambae ni mbunge ili kuweka taarifa sawa basi wasilisha pamoja na muhtasari wa kamati tendaji na katiba yenu.Huyu mzee drama sana Je huko nyuma ndiyo walikuwa na utaratibu huu au ni utaratibu mpya?
Ndio maana nikakwambia hizo ni siasa hivyo huwezi kusema eti ndugai hampendi MboweKabisa. Uliyeshangaa ni wewe. Unadhani Chadema wangepata wabunge na kura walizopata kama wangemsimamisha Slaa? Kumbuka hizo kura ndizo zilizowawezesha kujenga chama. Na baadae uamuzi wao ukathibitishwa kuwa ulikuwa sahihi baada ya Slaa kuhamia CCM. Sumaye na Nyalandu walikuja wenyewe na wameondoka wenyewe. Wote walikuwa na mvuto wao ambao ulitumika kujenga chama. Wameondoka lakini wale waliowavuta bado wapo kwenye chama.
Hivi unadhani leo Mbowe au Lissu wakiomba kujiunga na CCM, CCM watawakatalia? Mbona wamewapokea vizuri tu wakina Silinde, Waitara, Lijualikali, Halima nawengine ambao walikuwa wakiwatukana hivi karibuni?
Najua najisumbua kukufahamisha maana yote haya yako juu ya uwezo wako wa kufikiri.
Amandla...