Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Kwani busara huwa zinaota kama majani mkuu 🤣
Swali zuri mkuu. Ndiyo maana tunashangaa Ndugai kutoa maneno ya busara bungeni Siku hizi. Kipindi cha Magufuli na wakati wa Makinda hatumsikia akija na maneno yake ya busara.
 
Huyo Sabwoofa wa Rubberstamp Parliament ameathiriwa na Armyworms toxins.

Viwavijeshi vinadumaza.
 
Huyu Ndu gay ni spika wa ovyo kupata kutokea katika historia ya nchi yao
 
@Moderator
Paw
Maxence Melo

Kuna haja moderators on duty kutuarifu sisi contents creators kabla hawajaunganisha threads zetu.

Widening discussions inategemea upekee wa kimtazamo.

Seems mods wamefanya maamuzi kwa kutindikiwa na moderation
 
Mbona bunge lenyewe limedharauliwa toka kitambo sana? Akubali ukweli
 
Tunamjua nje ndani hivyo atulize mshono..
hahahaha sawa najua unamjua nauliza nani hapo kati ya La General Ulimwengu na Job Ndugai ndio unajua Siri zake?

Sorry lakini nilikua sijakuelewa ufafanuzi Mzee wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…