Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Kwani busara huwa zinaota kama majani mkuu 🤣
Swali zuri mkuu. Ndiyo maana tunashangaa Ndugai kutoa maneno ya busara bungeni Siku hizi. Kipindi cha Magufuli na wakati wa Makinda hatumsikia akija na maneno yake ya busara.
 
Huyo Sabwoofa wa Rubberstamp Parliament ameathiriwa na Armyworms toxins.

Viwavijeshi vinadumaza.
 
Huyu Ndu gay ni spika wa ovyo kupata kutokea katika historia ya nchi yao
 
Sisi wananchi tunashangazwa sana na ubabe wa kishamba unaofanywa kupitia mhimili wa Bunge letu. Ikumbukwe hili Bunge la sasa liliundwa kwa kukiuka taratibu nyingi sana kupitia kitu kinachofananishwa na Uchaguzi mkuu 2020

Tumemsikia Spika akitoa onyo kali dhidi ya Jenerali Ulimwengu kuwa wameishiwa uvumilivu.

1. Spika anakiuka ibara ya 18 ya Katiba ya sasa

2. Tangu uhuru mpaka leo, Bunge halijawahi kutunga sheria bali linapitisha miswada ya sheria zinazotungwa na Excutives. Ndo maana unasikia wabunge wanasema SERIKALI ILETE SHERIA BUNGENI ili waipitishe.

3. Ndugai atupatie ushahidi lini Bunge liliwahi kuiwajibisha serikali kupitia ripoti ya CAG

4. Je, kanuni za kudumu.za Bunge zilifuata utaratibu katika kutungwa na kupitishwa kwake? Kwanini zinatumika kama sheria wakati hazijakidhi vigezo vya kuwa sheria?

5. Bunge linatoa wapi mamlaka ya kutishia wananchi?

Bwana Ndugai, wananchi kwa sasa hawafuatilii sessions za Bunge. Haya ni matokeo ya kunajisi sheria za Uchaguzi na ukiukwaji wa maadili ya uongozi.

CCM tuna wakati mgumu sana 2025

Nipinge kwa hoja
@Moderator
Paw
Maxence Melo

Kuna haja moderators on duty kutuarifu sisi contents creators kabla hawajaunganisha threads zetu.

Widening discussions inategemea upekee wa kimtazamo.

Seems mods wamefanya maamuzi kwa kutindikiwa na moderation
 
Mbona bunge lenyewe limedharauliwa toka kitambo sana? Akubali ukweli
 
Back
Top Bottom