Spika Ndugai: Nimechaguliwa na watu 400,000 kuwa mbunge kwa miaka 25, mara mbili nimepita bila kupingwa, unaniita ZUZU?

Ndugai usilalamike kabisa kwanza wewe ndio chanzo cha matatizo ya bunge kuonekana hivyo!
Hata suala la Komred Assad wewe ndie mharibifu wa taratibu na kanuni za CAG.
Hata bunge unaloliongoza limekuwa kituko kuliko kipindi chote tangu lianzishwe!
 
Mimi nimeuza Matunda na masimba chipsi mitaani yaani Johnesburg South miaka minne sikuwahi kubugudhiwa na Metro. Na mpaka leo hii kuna Watanzania wengi mpaka leo wanafanya biashara mitani bila shida yoyote ile.
Wamachinga hawakutendewa haki kabisa
 
He who laughs last, laughs best.

zuzu1 nomino 5/6, animate

imbecile, fool, simpleton, idiot

mazuzu uwingi 5/6, animate Angalia umoja zuzu1
imbeciles, fools, simpletons, idiots
zuzu2 kivumishi

ignorant, inexperienced, oblivious
 
Mjinga wewe bila kumhusisha Hayati Magufuli kwenye sentesi zako huridhiki, badilika.
 
Asante sana Prof. Assad aka Simba
 
Suala la kuwa zuzu halina ubishi wowote ule, pengine achague neno la Kiingereza kati ya "idiot" ama "imbecile" ambalo anahisi pengine linamfaa zaidi.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Wakati mwingine wanasiasa wetu wanatakiwa wawe na akili pamoja na busara japo kidogo.Ndugai ni Spika na kwa katiba na sheria za sasa hawezi kushtakiwa kokote.Akimaliza muda wake marupurupu aliyonayo haitatokea akawaz nitakula nini.
Busara ni kunyamaza na kula kimya kimya.
 
Aende mahakamani kama anaona amedhalilishwa.
 
Jiwe na Ndugai walinajisi Bunge.....Prof toa nyongo
 
Ndugai kumbuka wewe kama ni heshima sidhani kama unastahili hata kdg!
Huna historia njemas ya kuja kukumbukwa nayo tofauti na ma-spika waliopita.
Sana sana 'mabilioni yetu kule India' na ulivyotaka kumuua Dr Chilongani kwa rungu
 
Huko kongwa si wanakula hadi funza? Sasa anajionaje?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona ajishtuiia huyu kwani katajwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…