Spika Ndugai: Nimechaguliwa na watu 400,000 kuwa mbunge kwa miaka 25, mara mbili nimepita bila kupingwa, unaniita ZUZU?

Nchi ina kodi za hovyo hovyo kwa sababu yako huko Kongwa kwenyewe kwa ajabu haijawahi tokea usiitwe hilo jina aitwe nani?
 
Prof alikuwa sahihi kabisa tunahitaji kitiba mpya na tume huru ya uchaguzi ili tuondokane na watu fulani ambao hawana sifa kutuongoza
 
The quality of voters we have is the quality of leaders we have, huu ndio ukweri, majitu yanakunywa maji ya visima na ng'ombe lakini yanaliachia zuzu kila wakati eti limepita bila kupingwa shame
 
Katika uwanja sawa wa kisiasa na uwepo wa tume huru ya uchaguzi asingewez kushinda uchaguz wowote ule either wa udiwan , mwenyekiti wa kijiji/mtaa na ubunge
 
Ukiitwa jina usilolipenda na lenye kubeba maana hasi inatakiwa uthibitishe Kwa maana chanya na kwa vitendo kuwa maana hasi Haina nafasi kwako.
 
Hahaahaha Profesa ataiona pepo yuko straight forward. Ndugai ni Zuzu
 
Uzuzu ujadiliwe kwa hoja.

Prof. aliwaita mazuzu kwa hoja na wao wajitetee kwa hoja na mwisho wa siku watu wenye akili watajua ni mazuzu kweli au siyo.
Kuchaguliwa kisiasa siyo sababu ya kutokuwa zuzu.
Maneno, maamuzi na matendo ndiyo yatakayothibitisha uzuzu.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ndugai hujawahi kushinda uchaguzi wowote , unapitishwa tu
 
Mimi nimeuza Matunda na masimba chipsi mitaani yaani Johnesburg South miaka minne sikuwahi kubugudhiwa na Metro. Na mpaka leo hii kuna Watanzania wengi mpaka leo wanafanya biashara mitani bila shida yoyote ile.
Wamachinga hawakutendewa haki kabisa
Mkuu metro wanasumbua machinga wanaopita sema mitaa mingi walio kwenye vizimba wale hata hawasumbuliwi ila kuzunguka kwa kuuza matunda utasumbuliwa na metro tena wakichukua mzigo fine yake kubwa kule faraday..
 
Kale kasheli kake ameshakafungua au Bado mpaka kesho? Napenda stori za huyu babu kama zile za kwenye gahawa
 
Huyu kweli zuzu[emoji2297][emoji2297]
 
una maanisha nini hapo mkuu?
 
Sema na kuwa ulompiga Fimbo yule Mgombea
Kupita bila kupingwa sio kipimo cha kuwa sio zuzu Magufuli alipitisha Mazuzu mengi
 
Mgonjwa ghali zaidi duniani hajapona bado... Hivi hajui unaweza kuwa juha katikati ya majuha ?
 
Inawezekana katika mazuzu 400,000 wewe ndio una nafuu ndio maana wamekuchagua uwe mwakilishi wao!
HIV katika hao Laiki Nne yule uliyempiga Fimbo ya kichwa yumo?!
Hahaha.... Labda watu hao 400,000 wameona anafaa kuwa mkuu wa kitengo ndo sababu ya kumchagua
 
Muulizeni akiwa kibaha sekendari alikuwa anasoma kwa majina gani na leo anaitwa nani?Job ....... Bungeni Job......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…