Bobwe2 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 2,463 Reaction score 2,342 Mar 22, 2021 #221 Nilivyo muelewa ndugai japo kwa ufupi,mkulima ni magufuli na nyani ni wapinzani,kitathmini ndugai hana imani na rais Samia suluhu,full stop
Nilivyo muelewa ndugai japo kwa ufupi,mkulima ni magufuli na nyani ni wapinzani,kitathmini ndugai hana imani na rais Samia suluhu,full stop
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Mar 22, 2021 #222 Huyu jamaa aendelee kucheza na COVID-19; amesahau alivyokuwa kanyonyoka nywele na mapunye kichwani.. COVID-19 inawapenda sana watu wa sampuli hizi. Namshauri tu akae kimya!! Atubu!! Mungu wetu yupo kazini.
Huyu jamaa aendelee kucheza na COVID-19; amesahau alivyokuwa kanyonyoka nywele na mapunye kichwani.. COVID-19 inawapenda sana watu wa sampuli hizi. Namshauri tu akae kimya!! Atubu!! Mungu wetu yupo kazini.
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Mar 23, 2021 #223 blogger said: Kikwete aliwaita CCM fisi... Ndugai leo anawaita CCM nyani... .....wacha tuendelee shuhudia Click to expand... Karume Jr aliwaita CCM Samaki
blogger said: Kikwete aliwaita CCM fisi... Ndugai leo anawaita CCM nyani... .....wacha tuendelee shuhudia Click to expand... Karume Jr aliwaita CCM Samaki
obadia90 JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 468 Reaction score 677 Mar 23, 2021 #224 job acha maneno mengi....