.
Tatizo hasara tunapata wote, kwa maamuzi yao ya hovyo yatatufanya tuishi kama walivyoamua.Waache waparuane
Maprofesa, tumeshudia mara nyingi wakijitoa ufahamuAkimpongeza mbunge wa Mtera mh Lusinde kwa uchambuzi mzuri wa hotuba ya Waziri Mkuu uliotumia dakika 15 Spika Ndugai amesema Kibajaj anawazidi wasomi wengi mle bungeni.
Spika amesema bungeni yanahitajika maarifa huo uprofesa ni kwa ajili ya kufundisha na kufanya tafiti hivyo katika siasa uprofesa hauna maana yoyote.
Ndio maana wabunge watatu wamewaponda maprofesa tukianza na Kishimba, Kibajaji na kuna wakati Dr Ndugulile aliwahi kumuita waziri fulani Profesa Ziro nikamtoa nje haa haaa amecheka Ndugai.
Ndugai amewataka maprofesa kuwa makini wanapohutubia bungeni kwani darasa la 7 akina Kibajaji, Msukuma Tabasamu, Jah people, Kiinanasi, Babu Tale nk nk wako makini kweli.
Chanzo: TBC
My take; Mbona wabunge wa darasa la 7 ni wanaume watupu!
Ndugai!
Kwa mnaojua,hivi nivigezo gani vinavyotumika kumpa MTU uspika?msaada tafadhali.Akimpongeza mbunge wa Mtera mh Lusinde kwa uchambuzi mzuri wa hotuba ya Waziri Mkuu uliotumia dakika 15 Spika Ndugai amesema Kibajaj anawazidi wasomi wengi mle bungeni.
Spika amesema bungeni yanahitajika maarifa huo uprofesa ni kwa ajili ya kufundisha na kufanya tafiti hivyo katika siasa uprofesa hauna maana yoyote.
Ndio maana wabunge watatu wamewaponda maprofesa tukianza na Kishimba, Kibajaji na kuna wakati Dr Ndugulile aliwahi kumuita waziri fulani Profesa Ziro nikamtoa nje haa haaa amecheka Ndugai.
Ndugai amewataka maprofesa kuwa makini wanapohutubia bungeni kwani darasa la 7 akina Kibajaji, Msukuma Tabasamu, Jah people, Kiinanasi, Babu Tale nk nk wako makini kweli.
Chanzo: TBC
My take; Mbona wabunge wa darasa la 7 ni wanaume watupu!
Hiyo " wengi " unamaanisha zaidi ya nusu ya baraza la mawaziri?Mawaziri wengi ni ma PhD holders ,hivi ni kweli hawa darasa LA saba wataweza kuisimamia hii serikali iliyoja wasomi?Nina wasiswasi kama huyo anaeongea ndio kiongozi wa bunge letu basi tumeliwa .tusubiri miujiza ya mungu tu.
Hapo anapondwa prf Assad.Akimpongeza mbunge wa Mtera mh Lusinde kwa uchambuzi mzuri wa hotuba ya Waziri Mkuu uliotumia dakika 15 Spika Ndugai amesema Kibajaj anawazidi wasomi wengi mle bungeni.
Spika amesema bungeni yanahitajika maarifa huo uprofesa ni kwa ajili ya kufundisha na kufanya tafiti hivyo katika siasa uprofesa hauna maana yoyote.
Ndio maana wabunge watatu wamewaponda maprofesa tukianza na Kishimba, Kibajaji na kuna wakati Dr Ndugulile aliwahi kumuita waziri fulani Profesa Ziro nikamtoa nje haa haaa amecheka Ndugai.
Ndugai amewataka maprofesa kuwa makini wanapohutubia bungeni kwani darasa la 7 akina Kibajaji, Msukuma Tabasamu, Jah people, Kiinanasi, Babu Tale nk nk wako makini kweli.
Chanzo: TBC
My take; Mbona wabunge wa darasa la 7 ni wanaume watupu!
Sifa za mbunge yaani kujua Kusoma na Kuandika!Kwa mnaojua,hivi nivigezo gani vinavyotumika kumpa MTU uspika?msaada tafadhali.
Hahahaaaa...... Watu mnaona mbali miye nilidhani Muhongo!Hapo anapondwa prf Assad.
HAZINA aliotuachia Mtupoli hiyo, ndio anapigiwa kelele Mama Samia aindeleze.Huyu lofa anafikiri watanzania wote tunatokea KONGWA nini?
haya ndiyo matatizo ya kutahiriwa ukubwani yanavyokuwa kilasiku akili zinapotea tuu
Nasikia ana andaa kikosi cha kumpinga Mh. Rais. Uvimbe kichwani umesha mmaliza.Mwenye CV ya
Spika Ndugai tafadhali.
Ahaaah kumbe nimeshaelewa, ni maiti inayotembea sasa si awe mpole ili afe kwa amani.Tatizo hicho kinundu kichwaniView attachment 1751521