Spika Ndugai: PhD zina manufaa kwenye kufundisha na kutafiti lakini siyo bungeni, Dkt. Ndugulile aliwahi kumuita Waziri Profesa Ziro

Bunge tokea kina msigwa ndio lilikuwa linasisimua, saivi nani atasikiliza bunge la asante rais
 
Akimpongeza mbunge wa Mtera mh Lusinde kwa uchambuzi mzuri wa hotuba ya Waziri Mkuu uliotumia dakika 15 Spika Ndugai amesema Kibajaj anawazidi wasomi wengi mle bungeni.

Spika amesema bungeni yanahitajika maarifa huo uprofesa ni kwa ajili ya kufundisha na kufanya tafiti hivyo katika siasa uprofesa hauna maana yoyote.

Ndio maana wabunge watatu wamewaponda maprofesa tukianza na Kishimba, Kibajaji na kuna wakati Dr Ndugulile aliwahi kumuita waziri fulani Profesa Ziro nikamtoa nje haa haaa amecheka Ndugai.

Ndugai amewataka maprofesa kuwa makini wanapohutubia bungeni kwani darasa la 7 akina Kibajaji, Msukuma Tabasamu, Jah people, Kiinanasi, Babu Tale nk nk wako makini kweli.

Chanzo: TBC

My take; Mbona wabunge wa darasa la 7 ni wanaume watupu!
Maprofesa, tumeshudia mara nyingi wakijitoa ufahamu
 
Mawaziri wengi ni ma PhD holders ,hivi ni kweli hawa darasa LA saba wataweza kuisimamia hii serikali iliyoja wasomi?Nina wasiswasi kama huyo anaeongea ndio kiongozi wa bunge letu basi tumeliwa .tusubiri miujiza ya mungu tu.
 
Kwa mnaojua,hivi nivigezo gani vinavyotumika kumpa MTU uspika?msaada tafadhali.
 
Mawaziri wengi ni ma PhD holders ,hivi ni kweli hawa darasa LA saba wataweza kuisimamia hii serikali iliyoja wasomi?Nina wasiswasi kama huyo anaeongea ndio kiongozi wa bunge letu basi tumeliwa .tusubiri miujiza ya mungu tu.
Hiyo " wengi " unamaanisha zaidi ya nusu ya baraza la mawaziri?
 
Akimpongeza mbunge wa Mtera mh Lusinde kwa uchambuzi mzuri wa hotuba ya Waziri Mkuu uliotumia dakika 15 Spika Ndugai amesema Kibajaj anawazidi wasomi wengi mle bungeni.

Spika amesema bungeni yanahitajika maarifa huo uprofesa ni kwa ajili ya kufundisha na kufanya tafiti hivyo katika siasa uprofesa hauna maana yoyote.

Ndio maana wabunge watatu wamewaponda maprofesa tukianza na Kishimba, Kibajaji na kuna wakati Dr Ndugulile aliwahi kumuita waziri fulani Profesa Ziro nikamtoa nje haa haaa amecheka Ndugai.

Ndugai amewataka maprofesa kuwa makini wanapohutubia bungeni kwani darasa la 7 akina Kibajaji, Msukuma Tabasamu, Jah people, Kiinanasi, Babu Tale nk nk wako makini kweli.

Chanzo: TBC

My take; Mbona wabunge wa darasa la 7 ni wanaume watupu!
Hapo anapondwa prf Assad.
 
Huyu lofa anafikiri watanzania wote tunatokea KONGWA nini?
haya ndiyo matatizo ya kutahiriwa ukubwani yanavyokuwa kilasiku akili zinapotea tuu
HAZINA aliotuachia Mtupoli hiyo, ndio anapigiwa kelele Mama Samia aindeleze.
Kwa kweli mama akiwasikiliza na akilea lea hizi taka taka, Eti tu MaCCM wezie. tutampiga mpaka achakae, kama tulivyo mfanya mtangulizi wake.
 
Samia tunakuomba hizi taka taka alizozitengeza Mtupoli unatakiwa mama uzichome moto au uzifukie kabisa.
Nchi yetu hii sio ya Magufuli na tunalipa kodi zilete maendeleo kwenye maisha yetu, sio kulipwa haya makenge ya kijani,yaliotengezwa na mtangulizi wako, hayana msaada wowote kwa taifa.
Hata kama mnataka CCM Iliojifia itutawale milele wekeni basi watu wenye kuelewa nini maana ya uongozi na uajibikaji.
 
Back
Top Bottom