Spika Ndugai: Rais ni mmoja tu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya acheni kujitutumua

Awamu maridadi hii spika naye he got his voice back!!!! Mmmmm jiwe alikuwa balaaa
 
Ana mtetea mke wake maana ni DED
 
Sisi tusiotenda mabaya tuna kinga kubwa sana ya mwenyezi Mungu - imeandikwa Mwenye HAKI ana kinga ya Muumba..

Sasa ukiwa si mtenda HAKI ulinzi wa Mungu unajitenga nawe hence adui anakweza kukuvamia na kuondoka na roho yako muda wowote ule...
unajichochea ujunga braza.
 
Ndugai anadance kufuatia midundo ya muziki,hapo ashajua tune ya Mama anaenda nae sawia,kabla alikuwa akicheza dance la Mwendazake kufuatilia midundo na milindimo...
 
Spika, leo ndiyo umeyajua hayo? wakati wakuu wa wilaya wanawapigilia misumari wananchi, kuwaweka ndani kwa kesi za kubambikizia kisa siasa ulikuwaga wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…