Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

Kuomba msamaha ni jambo la hekima mno

Hongera mh: Ndugai bado nasimama na kauli yako
 
Reactions: Ame
ndugai wala hajaomba msamaha bali kacheza na akili za watu tu, muda ni mwalimu mzuri utajibu.
Ndugai Hana akili hiyo. Ndani kabisa ya Moyo wake ndugai anajijua yeye Ni mtu mdogo Sana na yupo hapo alipo kwa kubebwa tu.
Ndugai ameshusha sana hadhi ya cheo Cha spika kiasi kwamba hata Babu Taletale anaamini anaweza kua spika.
 
Kuomba msamaha ni unyonge sifa kuu ya mwanaume ni kudinda
 
Nape aliomba msamaha mkampondaaa.. sasa spika na nape nani mshindi leo.

Sijawahi kuona duniani kiti cha spika kinalia hadharani...ati kusamehewa..!!
 
Ama kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Mtu kalaiiiika mwenyewe, ama kweli amewatia aibu Wagogo.
 
Hili ni swali muhimu sana.
Je ameomba radhi ya dhati aukatishwa?
alikuwa anaumwa na pengine alipotoka.
Je amehofia maisha yake?Je ameamua kujificha ili asidhirike ?Je ametishiwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…