Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

Mwisho wa mwezi
1. Mshahara na marupurupu ya ubunge 11 milioni
2. Mshahara na marupurupu ya spika... hayajulikani
3. Baada ya miaka 5, milioni 250 kiinua mgongo cha ubunge.
4. Kiinua mgongo cha spika ... hakijulikani.
Ukikusanya zote huko bilioni 1 kwa miaka Kitano tu.
Kwanini nisiombe msamaha hata kama ni mimi napiga na goti kabisa.

Acha tu lazima asali nakuungamia
IMG_3577.jpg
 
Ndugai kaboa, mbona kaongea ukweli anaomba radhi ya nini? Kwa ile kauli mm hajanikosea ila kosa la Ndugai ni kuendelea kuwakumbatia Wabunge 19 wasio na chama, huo ni wizi wa pesa za Watanzanja
Na jina lako linaakisi ukweli wa haya yaliyotokea. " Mzee kakanyaga dude"
 
Back
Top Bottom