johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama vipi tuwape mungu wa dunia hii (aliyetajwa na Bwana Yesu pindi akiwa hapa duniani).Mungu wa mbinguni hawezi kuwabariki wahujumu uchumi.
Mtafuteni mungu wenu.
Katiba mpya ina gharama zake manka.Katiba mpya ni kwa manufaa ya Taifa
Mungu si walishapewa. Chief HangayaKama vipi tuwape mungu wa dunia hii (aliyetajwa na Bwana Yesu pindi akiwa hapa duniani).
Mbona kusomesha mtoto kuna gharama lakini wazazi wanafunga mikandaKatiba mpya ina gharama zake manka.
Awabariki na Mazuzu?Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Gharama za katiba mpya ni zaidi ya fedha!Mbona kusomesha mtoto kuna gharama lakini wazazi wanafunga mikanda
Na kubambikiwa kesi ya ugaidi.Gharama za katiba mpya ni zaidi ya fedha!
Kuna kujitoa hata kufa kwa ajili ya wengine.
Mnooo......Katiba mpya ina gharama zake manka.
SPIKA kwaBaada ya mkutano wa Bunge kuanza juzi ambapo kimsingi ni kama vile ni bunge la CCM watupu Spika Ndugai ameonekana akibeba jukumu la kuikosoa na kuipa ushauri mbadala Serikali kazi ambayo ilikuwa ikifanywa kwa weledi mkubwa na Tundu Lissu, J J Mnyika na Zitto Kabwe walipokuwa bungeni...
Bila wa Tanganyika kukubali kufia wanachokiamini , bado tutaendelea kufanyiwa viini macho kama ya kina Ndugai & johnthebaptist . WANAFIKIGharama za katiba mpya ni zaidi ya fedha!
Kuna kujitoa hata kufa kwa ajili ya wengine.
Kuna nchi iliwahi kupiga hatua kwa kung'ang'ania "Status quo?". Abiy anafail kwa kutaka kurudisha status quo kwa nguvu baada ya kuanza mageuzi bila vision.Mnooo......
Wakati mwingine kubadili "status quo" ni kukaribisha balaa.....balaa haswaaa......
Hayo ndiyo anayokutana nayo mh.Abiy Ahmed wa Ethiopia na mwishowe "anaitia kibiriti nchi"....
#Siempre JMT
Kuna wasiotaka mabadiliko kama Ccm, ndiyo hao hao wanaowaza kuleta machafuko na kuichoma nchi ilimradi masilahi yao bandia wabaki nayo.Mnooo......
Wakati mwingine kubadili "status quo" ni kukaribisha balaa.....balaa haswaaa......
Hayo ndiyo anayokutana nayo mh.Abiy Ahmed wa Ethiopia na mwishowe "anaitia kibiriti nchi"....
#Siempre JMT