Spika Ndugai sasa ni kama anafanya kazi zilizoachwa na Lissu na Mnyika Bungeni. Tumerudi kwenye Bunge la chama kimoja

Spika Ndugai sasa ni kama anafanya kazi zilizoachwa na Lissu na Mnyika Bungeni. Tumerudi kwenye Bunge la chama kimoja

Mbona Africa Kusini walibadilisha "status quo" kwa kuwaondoa makaburu na hawakukaribisha balaa?

Mbona Ufaransa walibadilisha status quo kutoka ufalme hadi urais na hawakukaribisha balaa?

Mbona Zambia na Malawai wamebadilisha status quo na hawajajiletea mabalaa?

Mbona...

Mbona....

Mbona.......
Mnooo......

Wakati mwingine kubadili "status quo" ni kukaribisha balaa.....balaa haswaaa......

Hayo ndiyo anayokutana nayo mh.Abiy Ahmed wa Ethiopia na mwishowe "anaitia kibiriti nchi"....

#Siempre JMT
 
Mbona Africa Kusini walibadilisha "status quo" kwa kuwaondoa makaburu na hawakukaribisha balaa?

Mbona Ufaransa walibadilisha status quo kutoka ufalme hadi urais na hawakukaribisha balaa?

Mbona Zambia na Malawai wamebadilisha status quo na hawajajiletea mabalaa?

Mbona...

Mbona....

Mbona.......
Umenitajia nchi nyingi ila kihistoria hatufanani nao.....
 
Wa_tigray walikuwa watawala kama walivyo ccm sasa. Kama wanavyoleta vurugu ethiopia hata hawa ccm ndivyo ambavyo watafanya.
Kumbe umekuwa mtabiri....

"....CCM ndivyo ambavyo watafanya"🤣
 
Kuna bwana mmoja leo bungeni kuwa mabilionea wote Ni zao la CCM kwa vile hakuna chama kingine kilichowahi kutawala Tanzania, hiyo Ni kweli, lakini pia tukubaliane kuwa watanzania maskini kwa mamilioni Ni zao la CCM. Hizi kauli pengine tutafakari kabla ya kuzitoa
 
Back
Top Bottom