Mnooo......
Wakati mwingine kubadili "status quo" ni kukaribisha balaa.....balaa haswaaa......
Hayo ndiyo anayokutana nayo mh.Abiy Ahmed wa Ethiopia na mwishowe "anaitia kibiriti nchi"....
#Siempre JMT
Tunataka Katiba mpya ya Watanzania wote.Mpate kwanza katiba mpya ya Chadema!
Mnaoitaka muitafute!Tunataka Katiba mpya ya Watanzania wote.
Hii comment iko vizuri "vikao vya chama"
Cc johnthebaptist Crimea Magonjwa Mtambuka magu2016 jingalao etc.
Umenitajia nchi nyingi ila kihistoria hatufanani nao.....Mbona Africa Kusini walibadilisha "status quo" kwa kuwaondoa makaburu na hawakukaribisha balaa?
Mbona Ufaransa walibadilisha status quo kutoka ufalme hadi urais na hawakukaribisha balaa?
Mbona Zambia na Malawai wamebadilisha status quo na hawajajiletea mabalaa?
Mbona...
Mbona....
Mbona.......
Kumbe umekuwa mtabiri....Wa_tigray walikuwa watawala kama walivyo ccm sasa. Kama wanavyoleta vurugu ethiopia hata hawa ccm ndivyo ambavyo watafanya.
Umenitajia nchi nyingi ila kihistoria hatufanani nao.....