Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu zako.Ndugai anatakiwa ajiulize kama umeweka sheria ya kutaifisha na bado watu wanaingiza mifugo, ukiitoa hiyo sheria je?
View attachment 1800044
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Sheria ya Serikali kutaifisha Ng'ombe wanaoingia maeneo ya Hifadhi ni tatizo, akiita kuwa Sheria yenye dhuluma.
Amesema, "Hii Sheria sijui ilipita wapi, tulikuwa tumelala au ilikuaje. Ile kwamba Ng'ombe wakiingia kwenye Hifadhi wanataifishwa wote, hapana! Kama ni ya miaka ya karibuni sijui nilikuwa nimesafiri nimeenda wapi".
Ameeleza, Tembo kutoka Hifadhini wanazurura na kula mazao ya watu akisema kuwepo usawa kwenye suala hilo na kuitaka Serikali kuliangalia.