Spika Ndugai: TAMISEMI inaniudhi sana; kwanini inapora Madaraka ya Halmashauri?

Aiseeee
Inamaana wizara hiyo haina vichwa haswa vya kujua cha kufanya.. aibu.
 
Huo mfumo wa kutoa fedha kwa vikundi ni mfumo wa kiujamaa, ambao umepitwa na wakati. Tunahitaji kuwa na mfumo mpya wa kisasa zaidi ambao kila mtu anayetaka kukopa pesa aweze kujijengea uwezo wake mwenyewe wa kukopeshwa. Kuna wakati tanzania tulikuwa hatukopesheki kwa sababu ya kutolipa madeni, ikabidi kujijengea uwezo wa kukopesheka.
Kukopesha watu as a group wakati kila mwanakikundi ana interests zake ni kubebesha watu wengine mizigo isiyo yao.
 
wako sahihi tamisemi,halmashauri zinapaswa kupelekea maeneo yenye upungufu,tamisemi hupanga kutokana na mahiotaji ya halmashauri.
changamoto halmashauri ni kuwa sio wawazi hutaka kupewa watu then wawe mabwana wakubwa hawakupi msaidizi/mwajiriwa mpya mpaka mkuu wa idara,kitengo,shule ukawahonge yaani mpaka rushwa,kijana/binti hapangiwi pazuri pasipo rushwa.pia kuamishana ndaqni kwa ndani napo rushwa sasa ikiwa tamisemi wanaogopa katibu mkuu kapanga ww hupangue we nani
 
W

Waziri alitembelea mashuleni akakuta walimu wa sayansi wanajitolea kwa muda mrefu tu, hivyo akayachukua majina yao na kufanya mchakato wa kuwaajiri, sasa wakipangiwa vituo kabisa kwa maana ya kutowaondoa katika vituo walivyokuwa wanajitolea kuna ubaya gani?!!!!
 
Haya ndiyo makosa tunayofanya ya kudhania kuwa waziri ni malaika hawezi kukosea.

Poise , tangia namfahamu spika huyo hata kabla ya kuwa spika hizo ndiyo points 2 za msingi ameziongea.. Wallah kabisa.
Hakuna cha maana alichoongea. TAMIsEMI wanajua wanachofanya. Kuna tatizo kubwa kwa wakuu was idara za halmashauri katika upangaji wa vituo. (Hasa afya,elimu,kilimo n.k) Rushwa,ngono,kujuana,ukabila na maelekezo toka juu husababisha mlundikano wa watumishi kituo/eneo moja hasa mijini.
Hongera Waziri Jafo kwa kuona uozo huu.
 
Mwoshaa huoshwaaa atulie tu watuuwafanyeekazi mh
 
TAMISEMI ENDELEEEN HIVYOHIVYO

MMEPUNGUZA NGONO SIZIZOFAAAA

MMEPUNGUZA MAAMBUKIZI YA UKIMWI WWLIMU WAMETESEKA SANAKUTOA RUSHWA YA NGONO KUHAMISHWA MH JOB FWATILIA HILI

TAMISEMI AWAJAAKURUPUKA HIINN DHANA YA UWAZI NA HAKI YALEMAMBO YA TUKUTANE TOSEGARDEN UNAGEUKA NYUMA NA MKE WAMTU YAMEKUFA NA HALMASHAUR WASIPEWE KABISA HIO DHAMANA

MH NAPINGANA NA WEWE SWALA LÀ KUGAIANA HELA WATUBINAFSI JAMANI KWELI BUNGE MKIKAA MKAJADILI HILI HIZONPESA PELEKENI KUJENGA MSIKITI NA MAKANISA

HIVI UNAWEZA KUJUA LEO HII DAR NANINANAUWEZO FULANI UANZE KUMWAMBIA NJO OFISIN SINDIO TUBARUDISHA RUSHWA YA NGONO KULEKULE

IKIWA KIKUNDI MPAKA UCHARAZE SITAWOTE BASI WEKIDUME UNANYOTA YA MTOKO..LAKNI UKIMLAMBA MMOJA AMA WAWILI WENGINE LAZIMA WASHTUKE NA HUOO UCHAFU KUWA HADHARANI

TUWAACHIE TU TAMISEMI WAENDELEE NA SHUHULIZAO MUNGU AWABARIKI MH WAZIRI NA WALIO CHINI YAKO WIZARA ILIOZA HIOO SASA MMEANZA KUSAFISHA LAZIMW TUKUTANE NA VIZINGITI HAKUNA JINSI
 
Mkuki mtamu kwa nguruwe,kwa binadamu.......vipi yeye anavyotuudhi mamilioni ya watanzania?
Kwahiyo kwa akili yako unaona tatizo hilo (la walimu) lipo kwenye jimbo la mh. Spika tu, na kwamba haligusi mamilioni ya watanzania? Kama TAMISEMI wangelifanya kwa ufanisi zoezi la kupanga walimu, nisingeunga mkono hoja ya mh. Spika.
 
Mkurugenzi wa Halmashauri husika atajua jinsi kuhakikisha wawili wankuwepo katika kila shule na hayo ndiyo majukumu yake ...lakini huwezi kuilalamikia tu TAMISEMI kwa kupanga walimu vituo moja kwa moja hopeful walipata idadi na majina ya vituo toka Halmashauri husika pale walipoaambiwa pelekeni shule zenye uhaba wa walimu na aina ya masomo na idadi ya mahitaji wa wawilimu nao wamapanga sasa kosa la TAMISEMI ni nini?
 
Huyu naye mnafiki tu,yy mnona anapoka madaraka ya kambi ya upinzani,haoni kwamba hilo ni tatizo
 
Atulie aache kelele kila mmoja anaharibu kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…