Spika Ndugai: Uingereza kuna Mbunge aliapishiwa hospitali akiwa amelazwa na "bahati" mbaya alifariki bila kwenda Bungeni


Kwakweli waafrika ukiwatoa uwendaji wa china kununua bidhaa inafuata uwendaji wao huko uturuki kununua nguo na mashine na material za nguo
 
Katiba yao hyo yakwetu imeelekeza eneo mahususi. Sasa angeenda kumwapisha polepole kule lumumba
 

Adopt Kenya’s constitution? I think you’re talking about a different thing altogether!

We’re talking about similarities that exist in parliamentary practices of commonwealth countries.

I would rather refer you to a thread that contains my opinion on question of the oath of members of parliament:

 
B
Sasa katazo liko wapi?

Bunge ni pamoja na eneo lake lote!
Bunge ni chombo cha kutunga sheria ambalo utumia mikutano kukutana kwa kuzingatia quorum ya wajumbe pamoja na uwepo wa siwa.
kama ulishawai kufuatilia bunge kuna kipindi siwa linaondolewa na bunge linageuka linakuwa kamati
Na baada ya majadiliano kama kamati , siwa linarejeshwa na mwenyekiti anasema Bunge limerejea
Bunge sio majengo , taratibu zikifuatwa hata uwanja wa jamhuri Bunge linaweza kukutana
 
Kwahiyo bunge ni siwa!
 
Kwahiyo bunge ni siwa!
Siwa ni Sehemu ya Bunge Siwa lisipokuwepo hicho kikao kinakuwa sio Bunge
Ndio maana likirudishwa yule mwenyekiti anavaa joho lake na kisha anasema Bunge limerejea

Bunge ni nadharia pana sana nawashangaa sana hawa wajinga wanaosema bunge ni eneo la bunge
 
Kwahiyo Spika Ndugai aliyeapishwa bila siwa kuwepo ni sawa na akina Mdee na Polepole?
 
Hospitalin mtu still Yuko huru Bali ni mgonjwa ni tofauti na rumande hauko huru ni mazingira mawili tofauti
 
Swala ni katiba yako inasemaje sio nchi nyingine wanafanya nini. Sometimes tuna copy vitu vya wenzetu word for word na kuviingiza kwenye katiba yetu halafu application zake zinakuwa tofauti.

Ndio kama mambo ya kufukuzana vyama Uingereza ukifukuzwa uanachama bado unabakia mmbunge (independent), ukitoka mwenyewe kwenye chama ubunge wako unakoma hapo inabidi ukagombee upya.

Swala ni katiba inasemaje, sio fulani anafanya nini.
 
Muulize hapo kama huo uchaguzi wa UK aliona watu wakiingiza kura vituoni kupitia njia ya mabegi. Ama hao walioapishwa, majina yao hayakujadiliwa na vyama vyao vya siasa.
 
Kama UK walimwapisha mbunge hospitalini au chooni hiyo siyo hoja. Hoja ni kuwa katiba yetu iko black and white mahala pa kumwapisha mbunge, mengine yooote ni porojo za kuhalalisha ukiukwaji wa katiba. Katiba lazima ieshimiwe na yeyote anayaitakia nchi yetu maendeleo endelevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…