Spika Ndugai: Uingereza kuna Mbunge aliapishiwa hospitali akiwa amelazwa na "bahati" mbaya alifariki bila kwenda Bungeni

Hawa CCM waje waseme ni vitu gani tuwaige mabeberu na vipi tusiwaige!

Akitoa mfano kama huo mpinzani, unasikia hao mabeberu, mfano ametoa Ndugai wanakuwa akina nani?
🤣 🤣 🤣 balaa na nusu. Naunga mkono hoja yako. Wasiige nusunusu, waige kila kitu kutoka kwa mabeberu
 
Hakuna wakati kiti cha spika kimepwaya kama wakati huu. Hata mama Anne Makinda hakuwa namna hii, jamaa ni bogus sana
 
Kwani Katiba, sheria na Kanuni ya US zinaelekezaje kuhusiana na kiapo cha mbunge au senator? No copy cat please?
Kwani katiba, sheria na kanuni za Tanzania zinasemaje kuhusu kuapishwa kwa mbunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…