Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
🤣 🤣 🤣 balaa na nusu. Naunga mkono hoja yako. Wasiige nusunusu, waige kila kitu kutoka kwa mabeberuHawa CCM waje waseme ni vitu gani tuwaige mabeberu na vipi tusiwaige!
Akitoa mfano kama huo mpinzani, unasikia hao mabeberu, mfano ametoa Ndugai wanakuwa akina nani?