field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 1,171
- 2,732
Sijui kama Ndugai anaelewa maana ya kuwa Spika? Anachofanya ni mahaba ya waziwazi kwa kwa Serikali ambayo anashindwa kuyaficha. Kila mwananchi anafahamu function ya Bunge na Mahakama kama taasisi huru (hata wale wanaolipwa pesa na polepole lakini watajitoa akili)
Ni jambo la kushangaza kuona Spika mate na mapovu yanamtoka kwa siku tatu mfululizo kumwandama Mbowe eti anajipima ubavu.
Hivi wewe Spika unaelewa unachofanya? Kuna sehemu gani ya Katiba inasema Rais akiongea wengine hawatakiwa kutoa mawazo yao?
Ndiyo maana nasema wewe ndugai umekosea na unaendelea kukosea....Haitatokea spika kama wa hovyo kama wewe usiyejua kazi zako bali unashadidia kazi za wengine hasa huyo magufuli.
Sielewi una shida gani? Ni wewe uliyempiga mtu kwa fimbo ukakaribia kumuua...Hivi hujui hiyo ni jinai ulitakiwa ufungwe ila kwa sababu tuna viongozi wanaofanana na wewe kwa tabia, wakakunusuru na wanaona ni haki wewe kufanya body assault...Shame on you!
Wewe Ndugai, umegombana na Masele, eti ukamwandikia barua Rais wa bunge la Afrika kutaka kumkomesha Masele ukashindwa, ukagombana na CAG, Paschal Mayalla, Mbowe na wabunge wa upinzani. Nia yako nini?
Sasa wewe na polepole mna strategies za kumchukua Mbatia ili muweze kumshindishia wabunge wengi ili wawe kambi rasmi ya upinzani kwa sababu unamuogopa mbowe.
Huyo mbatia ana bei, ananulika ili muweze kum-control kirahisi. Mbowe kwako umeona ni kigongo maana unajaribu kuota na kusema kila siku kuwa una hakika Mbowe hatarudi bungeni. Ili izoeleke hata mtakapopeleka wasimamizi feki wa kura mwezi Oktoba na watakapoiba kura au kuleta masanduku yaliyojaa kura feki za ccm watu wasishangae. Kwani una uwezo wa kufanya opinion polls kujua nani atashindwa au atashinda?
Wananchi wote tunajua CCM haikuwahi kushinda tangu mwaka 1995 ndiyo maana mnaendelea kutisha watu na kunyang'anya ushindi wa vyama vingine bila aibu kama mlivyokuwa mkifanya zanzibar....Mambo ya kizamani na ya kihuni.
Ndiyo maana wabunge wote wa upinzani walitoka nje wakati wa kufungua bunge baada ya uchaguzi, watawasikilizaje marais haramu magufuli na shein, tena huyu shein alisha-concede na kujaza form kuwa ameshindwa lakini mkamrejesha kwa nguvu. Nchi imejaa madhalimu kama ninyi ndiyo maana mnapiga risasi watu mchana na mnaonyesha na chuki za waziwazi.
Eti unashangaa wabunge wa chadema kuchangishwa? Si nafuu ya wao kuchangishwa ipo kwenye katiba ya chama chao na tena ni 10% ya posho za kibunge kwa ajili ya kuimarisha chama. Mbona ccm imetuchangisha sana kwenye kujenga viwanja vya mpira na miradi mingine ambayo haituhusu bali ni ya corruption tupu.
Tumefaidika vipi? Bali ninyi na mitumbo yenu! Vipi michango ya mwenge...Imesaidia nchi kiasi gani zaidi ya chama chako?
Ndugai unajua kabisa kwamba uongozi wako kwenye bunge ni wa hovyo...Eti unaita mbunge aliyekwisha jiuzulu...Hivi huoni aibu?
Bado umeliibia taifa mabilioni ya pesa kwenye matibabu kule south africa na india....Huoni huruma maskini wanakufa kwa ubinafsi wako? Eti unajinasibu unafanya kazi kwa maslahi ya nchi...Mbona unamtetea magufuli na unajua anachofanya.
Wabunge watatu wamefariki kwa muda mfupi, mmoja alitangulia mapema ungefunga bunge na kupima wabunge pengine waliofuata wawili wangewahiwa matibabu na wasingefariki lakini kwa sababu unamsikiliza rais denier wa covid-19 (sorry gwajima nimesikiliza interview yako ukijifanya doctor kuwa covid-19 ni corona virus december mwaka 2019 badala corona virus disease-mwaka 2019). Mbona deniers wengi wanafanana hata kwa matendo yao?
Bunge kufungwa baada ya kutokea magonjwa ya milipuko ni jambo la kawaida wewe ndugai...Walivyofanya wabunge wa chadema ni sawa hata sehemu zingine wanafanya hivyo uk, spain na italy wamefanya ingawa hakuna mbunge aliyekufa. Kwani kuna shida bunge likiwa adjourned kwa siku 14 na wabunge wakapimwa wakiwa salama bunge linaendelea, watakaogua wanapewa matibabu?
Ndugai hajui kuwa bungeni siyo lazima kila kitu kikubaliwe na kiwe ndiyo, wapinzani wapo right kwa kukataa kupitisha bajeti mbovu zilizowahi kutokea katika utawala huu wa ovyo. Bajeti zinawekwa kubwa lakini utekelezaji ni asilimia 25, ni rahisi kutamka figure wakati budget iliyopita imepewa asilimia 14 au chini ya hapo. Tunashukuru wapinzani hasa chadema wametufungua macho, siyo huyo mbatia anayenunulia na kulamba miguu ya viongozi wa serikali na bunge.
Wewe ndugai unachoona ni issue ni posho za wabunge wa chadema....Umeamuru ziingizwe kwenye akaunti zao kwa your political gain, kwanini uliwawekea in first place? Na unajua walikataa kuhudhuria bunge.....Posho siyo sababu kubwa kuliko wewe kumlipa cecil mwambe wakati si mbunge na kumrudishia ubunge sijui kwa kipengele kipi na mtu ameshajiuzulu amehamia chama chako.
Ndugai wewe ni spika wa ovyo kuwahi kutokea, mnaharibu nchi yetu wewe na huyo magufuli wako unayemtetea siku zote. Shame on you.