johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tatizo la ajira halijawahi kukosekana tangia dunia kuumbwa. Sema tu uzito wa tatizo hutaofautiana kwa awamu.Kwa hiyo anakubali kuwa tatizo la ajira lipo?!
Hii ngoma ni nzito mkuu na ni global issue..sio Tanzania pekeeKwa hiyo anakubali kuwa tatizo la ajira lipo?!
Dear, mtu akiwa na uhakika wa kula na kulala kamwe hawezi kumkumbuka mwenye njaa na kama wapo wanaokumbuka wenye njaa basi ni wachache sana.Somo la ujasiriamali mbona lipo, lakini mbona yeye alikuwa ana Force ubunge Hadi alitaka kumuua mwenzake na rungu kichwani. Yeye ka mfano ajiuzulu ubunge na u speaker aanze ujasiriamali Ili kufundisha vijana kwa mfano
Upo sahihi sana tu mkuu. It is a global issueHii ngoma ni nzito mkuu na ni global issue..sio Tanzania pekee
Ukitaka kuamini nenda
Haiti
Algeria
Senegal
Burkina Faso
Syria
Albania bila kusahau
Afghanistan
Kila mahali tabu tupu! tusione kwamba hii ngoma ni kwa bongo pekee!
Umesahau signature yako bwashee..Spika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo.
Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao wanazeeka wakiwa bado wanatafuta ajira ambazo hazipo.
Amevitaka vyuo vikuu viwaige wenzao wa Kenya.
Kama mtu anaweza akaishia darasa la saba kisha akafanya kazi na kuingiza vipato, kwanini bado wanajenga shule za secondary?Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao wanazeeka wakiwa bado wanatafuta ajira ambazo hazipo.
Ndio Mkuu.Upo sahihi sana tu mkuu. It is a global issue
Sawa mkuuNdio Mkuu.
Na muhimu sana tukajikita kwenye research ya mambo...japo uzito wa tatizo nao unaweza kuwa chanzo kwa awamu kama ulivyomuelezea mdau hapo juu!
Duh hawa viongozi wetu wamezidi ubinafsi mbona kwa wenzetu wamejitahidi kuweka mazingira yanayoweza kumsaidia mtu wa chini kabisa, sasa huyo ndugai ukute watoto wake wamemaliza nje vile ni speaker kaandika kimemo wamepata kazi then ana joke watu wanaojishughulisha kitaa wasio na connectionDear, mtu akiwa na uhakika wa kula na kulala kamwe hawezi kumkumbuka mwenye njaa na kama wapo wanaokumbuka wenye njaa basi ni wachache sana.
Kosa sio la Ndugai bali hiyo ni nature ya binadamu wote wakiwa wameshiba pesa.
Watoto wake wanasoma china.Spika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo.
Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao wanazeeka wakiwa bado wanatafuta ajira ambazo hazipo.
Amevitaka vyuo vikuu viwaige wenzao wa Kenya.
Wavivu nao pia ni janga la taifaNaunga mkono hoja kwa 100% mbali na ajira baadhi ya maofisi kuna mizigo sana! Yaani mtu anaajiriwa hawezi kujishughulisha kabisa,kuandika hawezi! Kupanga file taabu yaani ni kulalama tuu na kupiga story + kunyoosha miguu...
Na baadhi ninahisi unakuta ni wale watoto wa mama from primary up to university hawajui hata kuku wanakunywa vipi maji.
Mh. Spika alipaswa kufanya utafiti kidogo kabla ya kutoa kauli kama hii.Duh hawa viongozi wetu wamezidi ubinafsi mbona kwa wenzetu wamejitahidi kuweka mazingira yanayoweza kumsaidia mtu wa chini kabisa, sasa huyo ndugai ukute watoto wake wamemaliza nje vile ni speaker kaandika kimemo wamepata kazi then ana joke watu wanaojishughulisha kitaa wasio na connection