Spika Ndugai: Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama

kwanini tusiandamane kama wananchi kushinikiza kuondolewa huu uhuni??
yaani mashabiki wa manchester wanatushinda wanaandamana kumtoa GLAZER ambaye ndiye mmiliki sisi tunamshindwa ndugai? malalamiko ya mtandaoni yanasaidia kweli?
Mazingira ya kwandamana sio rafiki, paka kuepo watu wanao heshimu haki za binadamu katiba ya nchi na wanao heshimu matakua ya wana nchi..........ndo uandamana lasivyo hao ma police ccm watakuumuza bure nakufungwa wakukutetea hamna.
 
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
heee ona hili

sijui umechanganyikiwa!
haya yametokea wapi tena thread inazungumzia wabunge wa anduje.
 
Hahahaha Bavicha kazi kweli kweli. Maneno ya kebehi ya mitandaoni na hapa JF hayawezi kuwaondoa wabunge 19 Bungeni, chukueni hatua zaidi.
 
Katika list yako hii ni Balisdya na Zawose tu ndiyo hawastahili kuwemo the rest ndiyo kama alivyosema jamaa.
 
Mh Ndugai ,utaburuzwa mahakamani KWA kesi ya kikatiba shauri yako Kuna leo na kesho mh, hachana nao hao mkuu
 
Kwahiyo kuwa mwanachama mtiifu wa CCM NI kusupport kila UJINGA?AISEE
 
Yaani Chedema mnamihemko ya ajabu sana huu inaonyesha kabisa mataahira wapo wengi chadema wivu tu umewajaa sasa kinachowashinda kwenda mahakamani ni nini sasa na kama watummewavua uanachama si muweke wa kwenu mnasubiri nini ? Kuna jambo haliko sawa huko mnazungukana tu.
 
Tulishazungumza kuhusu ndugu zetu “WAGOGO” kuwa huenda genetically kuna kipengele katika brain zao na namna ya kufikiri!
Stereotypes za kujumuisha wagogo kama kabila zima zinakufanya uonekane fala fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…