Uchaguzi 2020 Spika Ndugai: Wabunge wa CHADEMA (Viti Maalum) wasipohudhuria mikutano mitatu wamejifukuzisha

Uchaguzi 2020 Spika Ndugai: Wabunge wa CHADEMA (Viti Maalum) wasipohudhuria mikutano mitatu wamejifukuzisha

Mi siyo msemaji wao. Ila wakipeleka watakuwa wamejimaliza
Okay....
Kwa mujibu wa mtu mmoja aliye nipenyezea taarifa, iteshe kusema kwamba kuna tetesi za mpasuko mkubwa ndani ya chadema. Sabuni kuna wanao sema wapeleke majina kwaajili ya viti maalumu, na wengine wanakataa kwamba hakuna sababu ya kupeleka majina.
Hadi sasa bado haijajulikana mbivu na mbichi.
 
Mkakati wa CCM kuwaengua Wabunge wa upinzani wali overdo..sasa inawapa shida
 
Chadema acheni ujinga. Pelekeni wabunge bungeni. Walau hao kumi na tisa kila mmoja atachangia chama. Si huwa mnawakata ya kujenga chama ?Baadae msije kulia mitandaoni mnataka michango hata pango la Mtei mmeshindwa kulipa. Acheni kujitia kiburi wakati mmejaa shida.

Ni kweli wamejaa shida, lakini heri kufa masikini kuliko kushirikiana na wauaji na wezi wa kura.
 
Huko Burundi limetoka TANGAZO la kupiga mnada MALI za wapinzani wa serikali iliyopo madarakani. Hii ni kwa mujibu wa tangazo la Wizara ya Sheria ya huko!
 
Acheni kujiumiza kwa sababu ya nani kasema nini juu yako. Jiamini. Hao ni watanzania. Wabunge 19 wa upinzani ni muhimu kuliko hao 200 + wa CCM.Acheni ujinga.
Haramu yawezaje kuwa halali.?
 
Acheni kujiumiza kwa sababu ya nani kasema nini juu yako. Jiamini. Hao ni watanzania. Wabunge 19 wa upinzani ni muhimu kuliko hao 200 + wa CCM.Acheni ujinga.

Hawaendi fullstop. Na wakienda ndio tutawapotezea mazima.
 
Uzuri wa viti maalum mbunge afukuzwe, ajifukuzishe ama afariki lakini bado replacement itakuwa kutoka chama kile kile. Kwa hiyo hata Kama wangekuwepo hao wabunge na wakajifukuzisha basi chadema ingepeleka majina mengine kujaza nafasi. Hizo nafasi ni za chadema Hadi 2025
 
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge, wabunge 19 wa viti maalumu kutoka CHADEMA endapo hawatohudhuria mikutano mitatu ya Bunge, watakuwa wamejifukuzisha ubunge wenyewe.

Spika Ndugai amesema mkutano wa kwanza ni huu wa pili Januari na wa tatu Aprili.


My take.
Toka Sasa hadi April ni mbali sana, tutashudia vituko na mgawanyiko mkubwa Sana hapa katikati...huu ni mtihani mwingine ndani ya CHADEMA.
Ila Ndugai inabidi apimwe kichwa.
Utamfukuza vipi mtu ambaye hayupo!
 
Pale unapoandaa sherehe kwa nguvu na mbwembwe zote na watu waangoma kuja maumivu yake ni makubwa sana...
 
Swali bovu sana. Usielekeze mijadala kwenye dini ndugu yangu, inagawanya watu. Mimi sikujua kuwa Sadam, Gadaffi na akina Al Sisi ni Wakristo.
Yani kwa vile Marekani imesema basi ni madikteta?
Mbona tangu waondolewe nchi zao zina maisha mabovu sana?
 
Lana inampiga huyo na bado ,hawajui wanachokizungumza,mwaka huu miccm itapukutika hadi ndani ya bunge, miccm haipo na amani wanawindwa na mauti kila wanapoangalia, watapukutika kama kuku wa kideri, na wasijekujaribu kwenda kwa mganga kuzuia mauti yao ndio itakuwa balaa zaidi.

Mwenyezi Mungu ameombwa na ndugu na jamaa waliouliwa kwa makusudi katika uchaguzi huu, CCM mnazani mpo salama ?
Unapiga ramli mkuu,
 
Acheni kujiumiza kwa sababu ya nani kasema nini juu yako. Jiamini. Hao ni watanzania. Wabunge 19 wa upinzani ni muhimu kuliko hao 200 + wa CCM.Acheni ujinga.
Kwa ajili ya nn Hali uchaguzi umebakwa,wawape wake za mapolisi, mahera,siro,mabe,nk Hadi watimie 19 mbona ize tu.
Kama lengo ni kuuwa upinzani ya nn bungeni
 
Back
Top Bottom