Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Yaani hapo ni sawa na kupokea offer ya mtu alikugongea mkeo.Chadema acheni ujinga. Pelekeni wabunge bungeni. Walau hao kumi na tisa kila mmoja atachangia chama. Si huwa mnawakata ya kujenga chama ?Baadae msije kulia mitandaoni mnataka michango hata pango la Mtei mmeshindwa kulipa. Acheni kujitia kiburi wakati mmejaa shida.
Tangu lini nduga akawa na upendo na cdm,Hali alishasema wakirudi hata 3 hivi sijui.