Uchaguzi 2020 Spika Ndugai: Wabunge wa CHADEMA (Viti Maalum) wasipohudhuria mikutano mitatu wamejifukuzisha

Uchaguzi 2020 Spika Ndugai: Wabunge wa CHADEMA (Viti Maalum) wasipohudhuria mikutano mitatu wamejifukuzisha

Chadema acheni ujinga. Pelekeni wabunge bungeni. Walau hao kumi na tisa kila mmoja atachangia chama. Si huwa mnawakata ya kujenga chama ?Baadae msije kulia mitandaoni mnataka michango hata pango la Mtei mmeshindwa kulipa. Acheni kujitia kiburi wakati mmejaa shida.
Yaani hapo ni sawa na kupokea offer ya mtu alikugongea mkeo.
Tangu lini nduga akawa na upendo na cdm,Hali alishasema wakirudi hata 3 hivi sijui.
 
Hivyo viti kwa kweli wapewe jeshi la polisi na usalama wa taifa. Wamefanya kazi nzuri sana. CHADEMA hawastahili.

Au vinginevyo wampe mke wa Polepole na wa Bashiru na wa Diamond na wa Masanja na wa

Msihangaike kuwabembelezea CDM nafasi wasizozihitaji.
 
Ghafla Spika amekuwa mwema katika hali ya kushangaza kwa chama ambacho siku zote kimekuwa kero kwake. Mimi nilitegemea angewapuuza asiwagutushe mpaka muda wao uka-expire ili Bunge libaki tulivu.

Akiendelea kusisitiza tutahisi kuna jambo halijakaa vizuri
 
Huu ni mtihani kwa Chadema au kwa bunge linaloundwa na chama kimoja?

Kwa Chadema ni kuwa na msimamo tu bhas na wakitetereka watakuwa wamejisaliti wenyewe kwa kushindwa kusimamia hoja zao za uchaguzi kutokuwa wa haki na kubariki yote yaliyofanyika kwenye uchaguzi.
 
Ghafla Spika amekuwa mwema katika hali ya kushangaza kwa chama ambacho siku zote kimekuwa kero kwake. Mimi nilitegemea angewapuuza asiwagutushe mpaka muda wao uka-expire ili Bunge libaki tulivu.

Akiendelea kusisitiza tutahisi kuna jambo halijakaa vizuri
Madikteta ndiyo yalivyo mkuu
 
Maajabu hayaishi Tanzania!

Si yeye mwenyewe Ndugai alinukuliwa na vyombo vya habari kuwa kutokana na matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita, ambapo CHADEMA imeambulia mbunge mmoja pekee, hakutakuwa na kambi rasmi ya upinzani?....
Atakuwa anamuongelea huyo mbunge mmoja pekee
 
Ghafla Spika amekuwa mwema katika hali ya kushangaza kwa chama ambacho siku zote kimekuwa kero kwake. Mimi nilitegemea angewapuuza asiwagutushe mpaka muda wao uka-expire ili Bunge libaki tulivu.

Akiendelea kusisitiza tutahisi kuna jambo halijakaa vizuri
Ugali wake upo salama ,shida nini Tena.
 
Yaani hapo ni sawa na kupokea offer ya mtu alikugongea mkeo.
Tangu lini nduga akawa na upendo na cdm,Hali alishasema wakirudi hata 3 hivi sijui.
Acheni kujiumiza kwa sababu ya nani kasema nini juu yako. Jiamini. Hao ni watanzania. Wabunge 19 wa upinzani ni muhimu kuliko hao 200 + wa CCM.Acheni ujinga.
 
hapana kujenga tena chama kinatakiwa kife bana kabisa,wapinzani wamechelewesha sana maendeleo,hii mitano ni kazi tu
Wasipopeleka hao wabunge 19 na Chama kitakufa kweli. Maana huku nje hawana pa kusemea. Walau hao 19 wakaseme huko Bungeni.
 
Acheni kujiumiza kwa sababu ya nani kasema nini juu yako. Jiamini. Hao ni watanzania. Wabunge 19 wa upinzani ni muhimu kuliko hao 200 + wa CCM.Acheni ujinga.
Sawa mkuu ila ili wapatikane uchaguzi lazima kurudiwa kila mmoja abebe msalaba wake ,hakuna kubebwa hapa ,tena Kama vipi uludiwe chini ya UN, Kama mtu ameshinda kwa Kura nyingi ya 80% na zaidi anaogopa nini kuludia uchaguzi ali Hali wapiga kura ni walewale
 
Hilo haliwezekani kwa sasa.UN huwa wanaingilia wakiona mnapigana. Sasa hata kuandamana mmeogopa. Hivyo kuzila kupeleka wabunge haitawasaidia sana sana itawapoteza tu.
 
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge, wabunge 19 wa viti maalumu kutoka CHADEMA endapo hawatohudhuria mikutano mitatu ya Bunge, watakuwa wamejifukuzisha ubunge wenyewe.

Spika Ndugai amesema mkutano wa kwanza ni huu wa pili Januari na wa tatu Aprili.

My take.
Toka Sasa hadi April ni mbali sana, tutashudia vituko na mgawanyiko mkubwa Sana hapa katikati...huu ni mtihani mwingine ndani ya CHADEMA.
Dah mbona ame extend sana muda huyu andunje amepatwa sana na huruma gani kwa hawa wabunge viti maalum wa chadema? wakati huwa anafukuza pale bungeni, vip kwani alishawaapisha tayari na je walishateuliwa na chama chao na akapelekewa majina, kama ndiyo najua atakuwa ameshawafungulia na akauti za benki kama kawaida yake ataanza kuwaingizia fedha kimya kimya
 
Hilo haliwezekani kwa sasa.UN huwa wanaingilia wakiona mnapigana. Sasa hata kuandamana mmeogopa. Hivyo kuzila kupeleka wabunge haitawasaidia sana sana itawapoteza tu.
We ulitegemea maandamano ya amani lazima mue kundi kwa tahalifa yako maandamano yapo na yanaendelea,kila unaemuona akitembea anaandamana hata hapo ulipo ofisin kutoka chuma kimoja kwenda kingine unaandamana,hayo ndo maandamano ya amani mkuu,binafsi wapo majirani zangu tangu kauli hiyo wamepaki usafili wanaenda ofisin kwa baiskeli jidanganye,mwafaaa
 
Back
Top Bottom