Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa inayokukabili wewe hadi kukudhalilisha haihusu watu wengine , Chadema haijapeleka majina ya wabunge wa viti maalum Tume , hii maana yake ni kwamba hawapo , kwa kiswahili fasaha ni kwamba wabunge hao hawapo , sasa hata kama ungekuwa bwege kiasi gani unadhani Ndugai atafukuza wabunge gani ?Mkuu tuwe watulivu muda ni Mwalimu mzuri Sana, kama iliwezekana kwa Lowassa sitashangaa lolote kutokea....hii ni November mpaka April tutaona mengi.
GT anajibu swali kwa swali!Nimekuelewa Ng'ombe,Mbuzi na Kondoo hufungwa zizi moja lakini hawachanganyiki...Sasa wewe ni nani kati ya Ng'ombe,Mbuzi ama Kondoo?
Nimekuelewa ndugu, maana siku hizi kuitwa CCM ni tusi la kimataifa. Pole sana, kwa mchangiaji kujichanganya na kukuweka pale usipo.Wapi nimesema mimi CCM? jifunze kusoma na kuelewa nilichofanya nimenukuu tu maneno ya Spika.
Ana juaje yeye atakuwa hai hadi vikao vitatu viishe??Spika wa Bunge Job Ndugai amesema wabunge wa CHADEMA wasipohudhuria mikutano mitatu ya Bunge watakuwa wamejifukuzisha ubunge.
Spika Ndugai amesema mkutano wa wa kwanza ni huu wa pili January na wa tatu Aprili.
My take.
Toka Sasa hadi April ni mbali sana, tutashudia vituko na mgawanyiko mkubwa Sana hapa katika...huu ni mtihani mwingine ndani ya Chadema.
Njaa inayokukabili wewe hadi kukudhalilisha haihusu watu wengine , Chadema haijapeleka majina ya wabunge wa viti maalum Tume , hii maana yake ni kwamba hawapo , kwa kiswahili fasaha ni kwamba wabunge hao hawapo , sasa hata kama ungekuwa bwege kiasi gani unadhani Ndugai atafukuza wabunge gani ?
Samahani ndugu zangu, hili swali limeulizwa sana. Nami nauliza tena, Hivi hao wabunge anaowaongelea Ndungai ni akina nani? Kuna anayewajua kwa majina atutajie hapa. Maana simjui hata mmoja.Tutajie majina yao, wangapi?
Halafu jisemee wewe binafsi usimsemee mtu, maana kila mmoja ana maamuzi yake...wangapi waliominiwa kuwa ni makamanda halisi lakini mwisho wa siku waliokigeuka chama mchana kweupe.Njaa inayokukabili wewe hadi kukudhalilisha haihusu watu wengine , Chadema haijapeleka majina ya wabunge wa viti maalum Tume , hii maana yake ni kwamba hawapo , kwa kiswahili fasaha ni kwamba wabunge hao hawapo , sasa hata kama ungekuwa bwege kiasi gani unadhani Ndugai atafukuza wabunge gani ?
Kichwa kibovu hicho, umekulupuka. Vitu viwili tafautiMaajabu hayaishi Tanzania!
Si yeye mwenyewe Ndugai alinukuliwa na vyombo vya habari kuwa kutokana na matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita, ambapo Chadema imeambulia mbunge mmoja pekee, hakutakuwa na kambi rasmi ya upinzani.............
Sasa tunapomsikia tena Ndugai akidai kuwa wabunge Wa Chadema wasipohudhuria mikutano mitatu mfululizo, watakuwa wamejifukuzisha ubunge, je anawaongelea wabunge wapi hapo?
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema wabunge wa CHADEMA wasipohudhuria mikutano mitatu ya Bunge watakuwa wamejifukuzisha ubunge.
Spika Ndugai amesema mkutano wa wa kwanza ni huu wa pili January na wa tatu Aprili.
My take.
Toka Sasa hadi April ni mbali sana, tutashudia vituko na mgawanyiko mkubwa Sana hapa katika...huu ni mtihani mwingine ndani ya Chadema.
Tumia akili muamama, kishelia chaga dema wanatakiwa wapeleke hao wachumia tumbo wa vitu spesheli na wasipokuwepo mpska aplili n fyuuuuu, fyekelea kuleeeeeeeeeeSamahani ndugu zangu, hili swali limeulizwa sana. Nami nauliza tena, Hivi hao wabunge anaowaongelea Ndungai ni akina nani? Kuna anayewajua kwa majina atutajie hapa. Maana simjui hata mmoja.
Sijafuatilia hilo bunge hata siku moja.
AbunuasiSpika wa Bunge Job Ndugai amesema wabunge wa CHADEMA wasipohudhuria mikutano mitatu ya Bunge watakuwa wamejifukuzisha ubunge.
Spika Ndugai amesema mkutano wa wa kwanza ni huu wa pili January na wa tatu Aprili.
My take.
Toka Sasa hadi April ni mbali sana, tutashudia vituko na mgawanyiko mkubwa Sana hapa katika...huu ni mtihani mwingine ndani ya Chadema.
Hana lolote huyo. Kwa tunaosoma katikati ya Mistari hapo kuna mambo mawili tu:OloSpika wa Bunge Job Ndugai amesema wabunge wa CHADEMA wasipohudhuria mikutano mitatu ya Bunge watakuwa wamejifukuzisha ubunge.
Spika Ndugai amesema mkutano wa wa kwanza ni huu wa pili January na wa tatu Aprili.
My take.
Toka Sasa hadi April ni mbali sana, tutashudia vituko na mgawanyiko mkubwa Sana hapa katika...huu ni mtihani mwingine ndani ya Chadema.
Unanishangaza kidogo mkuu wangu 'idawa' kwa mfano wako huo wa Lowassa!Mkuu tuwe watulivu muda ni Mwalimu mzuri Sana, kama iliwezekana kwa Lowassa sitashangaa lolote kutokea....hii ni November mpaka April tutaona mengi.
Mtachukua tu hizo nafasi, aliyekuwa anazuia kesha lala mbele,Hio viti maalumu wapewe polisi maana nao ni chama cha siasa wamefanya kazi nzuri Sana ya kuiweka ccm madarakani wapewe hata viti 10
Mbunge wa viti maalum hajiteui , kama Kamati Kuu haikuteua majina ni yupi anayeweza kuleta hayo majina na kwa mamlaka ipi ? Mahera alijaribu kutaka kufanya hiki kituko lakini amechemsha , hii ni kwa sababu hiyo hiyo katiba yao mbovu inakatazaHalafu jisemee wewe binafsi usimsemee mtu, maana kila mmoja ana maamuzi yake...wangapi waliominiwa kuwa ni makamanda halisi lakini mwisho wa siku waliokigeuka chama mchana kweupe.
Wanasiasa wetu wengi kama sio wote ni wanafiki wanajali matumbo yao kwanza..
Kuna watu ndani ya Chadema humo hawalali wanaziota hizo nafasi, subiri muda utaongea.