Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri uone kina Mdee na Bulaya wakienda kuapa ndio utajua hujui.kuna wabunge wa chadema ambao amewaapisha alafu hawaingii bungeni?
Kuwa na akili hata ya kuvukia Bara bara Mimi nimenukuu maneno ya Ndugai tu.Nawewe acha upashkuna. Nataka awataje hao wabunge wa viti maalum wa CHADEMA ambao hawapo bungeni. Na atasemaje ni wabunge wakati hajawaapisha? Mbona wanatubemenda akili hawa CCM? Au anadhani na sisi wananchi ambao wanatuita wanyonge tumeshikiwa akili zetu na Magufuli kama wao/yeye? Period!
Basi samahani. Ila punguza hasira zinauaKuwa na akili hata ya kuvukia Bara bara Mimi nimenukuu maneno ya Ndugai tu.
Watu wa ajabu sana hawa!Maajabu hayaishi Tanzania!
Si yeye mwenyewe Ndugai alinukuliwa na vyombo vya habari kuwa kutokana na matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita, ambapo Chadema imeambulia mbunge mmoja pekee, hakutakuwa na kambi rasmi ya upinzani.............
Sasa tunapomsikia tena Ndugai akidai kuwa wabunge Wa Chadema wasipohudhuria mikutano mitatu mfululizo, watakuwa wamejifukuzisha ubunge, je anawaongelea wabunge wapi hapo?
Ahh sasa hivi Afya, Elimu, Maji nchi hii chini ya utawala wa CCM linaenda kuzifutilia mbaliWatajuta kumtukana Dr. Slaa
Even better! Waloapishwa.... bila hiyo tuulize hao wateule ni wepi?kuna wabunge wa chadema ambao amewaapisha alafu hawaingii bungeni?
Hayo ni maneno tu kamanda! Kumbukua hapa tuko AfrikaAhh sahvi afya,elimu,maji nchi hii chini ya utawala wa ccm linaenda kuzifutilia mbali
Mpk 2025 tz inakuwa kama Sydney
Wapinzani walikuwa wanatucheleweshea maendeleo
Au unasemaje kamanda
Ova
Jibu swali, ng'ombe, mbuzi na kondoo hufugwa zizi moja lakini hawachanganyiki, hujitenga kulingana na asili zao; Ndivyo na wewe ulivyo hauwezi kunidanganya.Wapi nimesema mimi CCM? jifunze kusoma na kuelewa nilichofanya nimenukuu tu maneno ya Spika.
Mkuu tuwe watulivu muda ni Mwalimu mzuri Sana, kama iliwezekana kwa Lowassa sitashangaa lolote kutokea....hii ni November mpaka April tutaona mengi.Kwani wabunge hao wa CHADEMA ni wapi hasa?
Wale waliochaguliwa na Magufuli na timu yake, au ni wabunge hasa wanaowawakilisha wananchi kwa tiketi ya chama hicho?
Hapo kwa mtu mwenye fikra pevu hakuna 'mtihani' wowote kwa yeyote.
Kama ni mamluki, inajulikana hizo ndio njia kuu zinazotumiwa na watu hawa; kwani kuna jipya gani tena?
Nikiwaona watu kama Halima Mdee, Ester wawili, akina Henche na baadhi wa aina hiyo kwenye kundi hilo, nitajua miujiza inawezekana sana nchi hii. Nje ya hapo, hakuna lolote la kumshangaza yeyote.
Ndugai ana akili timamu ?Spika wa Bunge Job Ndugai amesema wabunge wa Chadema wasipohudhuria mikutano mitatu ya bunge watakuwa wamejifukuzisha ubunge.
Ndugai amesema mkutano wa wa kwanza ni huu wa pili January na wa tatu April.
My take.
Toka Sasa hadi April ni mbali sana, tutashudia vituko na mgawanyiko mkubwa Sana hapa katika...huu ni mtihani mwingine ndani ya Chadema.
Nimekuelewa Ng'ombe,Mbuzi na Kondoo hufungwa zizi moja lakini hawachanganyiki...Sasa wewe ni nani kati ya Ng'ombe,Mbuzi ama Kondoo?Jibu swali, ng'ombe, mbuzi na kondoo hufugwa zizi moja lakini hawachanganyiki, hujitenga kulingana na asili zao; Ndivyo na wewe ulivyo hauwezi kunidanganya.