johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.
Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.
Source Star tv!
My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia
Maendeleo hayana vyama!
Mwambieni naye Ndugai anadaiwa Tsh 57 Bilioni ambazo CAG ulikwisha zihoji kuhusu matibabu yake India.Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.
Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.
Source Star tv!
My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia
Maendeleo hayana vyama!
Hakuna asiye daiwa, mbona madeni ni kitu cha kawaida. Huyu spika bhanaBila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.
Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.
Source Star tv!
My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia
Maendeleo hayana vyama!
Hakuna jipya hapo kwani ndio utaratibu wenyewe na kila muhusika anaujuwa. Spika anapoweweseka ni kiashiria cha kufilisika hoja. Hivi wajameni kweli kuna nchi hapa Africa ina bahati mbaya kama Tz kwa kuwa na sampuli hii ya Speaker Ndugai?Kuadadeki kumbe makamanda wamekimbia madeni job kula nao sahani moko wasitusumbue .hakikisha wanakatwa kwenye mafao yao
Sent using Jamii Forums mobile app