Spika Ndugai: Wabunge waliotoroka wana madeni makubwa na ya ujanja ujanja hivyo atawakabidhi Serikalini wachukuliwe hatua

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.

Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.

Ndugai amewataka wabunge wanaohudhuria vikao kutoshtushwa na mahesabu ya madeni waliyopewa na idara ya uhasibu kwani mahesabu hayo yatafanyiwa marekebisho ili wasiondoke Dodoma mikono mitupu.

Chanzo: Star tv!

My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia

Maendeleo hayana vyama!
 
Nchi hii kila ina igizo na jambo jipya.. ila sabufa ikifika Bluetooth inakuwa si kitu tena

It is never too late to begin. Start now
 
Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.

Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.

Source Star tv!

My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia

Maendeleo hayana vyama!

..hivi haiwezekani kumpa Spika Ndugai kalikizo kadogo?

..huyu bwana inaelekea ana stress mbaya sana.

..hivi unaamini suala la madeni ya wabunge linawahusu cdm tu, upande wa ccm hawana tatizo kama hilo?

..Maendeleo hayana vyama. Na madeni hayana vyama.
 
Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.

Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.

Source Star tv!

My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia

Maendeleo hayana vyama!
Mwambieni naye Ndugai anadaiwa Tsh 57 Bilioni ambazo CAG ulikwisha zihoji kuhusu matibabu yake India.
 
Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.

Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.

Source Star tv!

My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia

Maendeleo hayana vyama!
Hakuna asiye daiwa, mbona madeni ni kitu cha kawaida. Huyu spika bhana
 
..kuhudhuria vikao na kulipwa posho zote ni muhimu zaidi kwa mbunge aiye na madeni.

..hoja ya Spika kwamba wabunge wamesusia vikao haina mashiko.

..mbunge aliyeelemewa na madeni atasusia vipi vikao, wakati analipwa kwa kila kikao anachohudhuria?
 
Hivi safari hii Spika anapitia bajeti za wizara mbali mbali na kutoa maoni yake? Naona muda wote anaongelea wabunge wa Chadema walioko karantini!
 
Kuadadeki kumbe makamanda wamekimbia madeni job kula nao sahani moko wasitusumbue .hakikisha wanakatwa kwenye mafao yao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna jipya hapo kwani ndio utaratibu wenyewe na kila muhusika anaujuwa. Spika anapoweweseka ni kiashiria cha kufilisika hoja. Hivi wajameni kweli kuna nchi hapa Africa ina bahati mbaya kama Tz kwa kuwa na sampuli hii ya Speaker Ndugai?
 
Yani inaonekana ameumia kweli kweli na kuhusu madeni ni siri kati ya mkopaji nanmkopeshaji hivyo sio kigezo atoe hoja zenye mashiko nchi inakopa sasa sembuse hao wabunge.
 
Ukisikia hoja za ccm kuzoofisha upinzani hususani CDM utangundua ccm wana hofu na wamechoka sana kuliko hao wanatupiwa lawama.Kamati ya ufundi moeni ndugai mbinu walau za la saba! Bira hata vijembe vya Musukuma na Kibajaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom