Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mtu anadaiwa na anaacha chanzo cha mapato kitakachompatia uwezo wa kulipa si kuwa anaweza kulipa kwa vyanzo vingine? Spika huyu vipi?Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.
Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.
Source Star tv!
My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia
Maendeleo hayana vyama!
Spika Ndugai amesema wabunge waliopo bungeni mahesabu yao yatarekebishwa!..hivi haiwezekani kumpa Spika Ndugai kalikizo kadogo?
..huyu bwana inaelekea ana stress mbaya sana.
..hivi unaamini suala la madeni ya wabunge linawahusu cdm tu, upande wa ccm hawana tatizo kama hilo?
..Maendeleo hayana vyama. Na madeni hayana vyama.
Anayepitia kipindi kigumu hapa ni Job acha kukwepesha. Ulishawahi kuona Mke unayempenda anakimbia nyumba yako na arafu usijue kaenda wapi kwa kutokubaliana na jinsi unavyoendesha familia lazima utatapatapa na kuvurugwa akili na hayo ndo yanayomkuta Supika kwa sasasa..Jamaaa kachanganyikiwa kwa wabunge wa Chadema kutokuwepo Bungeni wakati ukiangalia kwa idadi ya wabunge wanaoongoza kwa utoro bungeni kwa sasa ni wa CCM ..wapo wengine ni majangili wametiwa ndani wakiwinda wiki iliyopita...wengine wagonjwa zaidi ya miaka miwili achilia mbali Mawaziri na Manaibu waliojilockdown kwa kisingizio eti wana majukumu ya Kiserikali. lakini yeye kawamiss wa Chadema...Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.
Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.
Source Star tv!
My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia
Maendeleo hayana vyama!
Hakuna asiye daiwa, mbona madeni ni kitu cha kawaida. Huyu spika bhana
Kuna ndugu yangu mmoja aliniambia hivi "Ukiona nyoka anaonekana onekana basi ujue na uzima wake upo ukingoni" Ujumbe huu bado sijaupatia maana sana na wakati gani haswa unapaswa kutumika, ila kwa kinachoendelea huko mjengoni basi, pasipo na shaka, JOKA kuu limefika ukingoni..hivi haiwezekani kumpa Spika Ndugai kalikizo kadogo?
..huyu bwana inaelekea ana stress mbaya sana.
..hivi unaamini suala la madeni ya wabunge linawahusu cdm tu, upande wa ccm hawana tatizo kama hilo?
..Maendeleo hayana vyama. Na madeni hayana vyama.
Spika Ndugai amesema wabunge waliopo bungeni mahesabu yao yatarekebishwa!
Bila wasiwasiMy take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia
Chadema tayari imeshakata roho!CCM mpake ikate roho,tutaona mengi ya kustajabisha na kushangaza!!
hizi ni dalili za kufilisika kisiasaHivi Wagogo hawaendagi mkoleni? Mbona mpaka siri za benki na mteja wake anaziongelea hadharani???
Mzee Mgaya anasema katika hili Spika Ndugai ameshika mpini na watoro wameshika makali!..sielewi kwanini spika yuko so focused na wabunge "watoro" wa cdm.
..unless wabunge wa ccm nao wanatamani kuwa "watoro" kama ndugu zao wa cdm.
..kwani Mzee Mgaya anasemaje kuhusu suala hili? kwanini linamsumbua Spika kiasi hiki?
Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.
Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.
Ndugai amewataka wabunge wanaohudhuria vikao kutoshtushwa na mahesabu ya madeni waliyopewa na idara ya uhasibu kwani mahesabu hayo yatafanyiwa marekebisho ili wasiondoke Dodoma mikono mitupu.
Source Star tv!
My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia
Maendeleo hayana vyama!
Utalipwa bwashee!Kuna mbunge wa CCM namdai milioni 68 tayari ndugai ana taarifa na wameniambia watakamkata kwenye kiinua mgongo chake.
Bila kuwataja kwa majina au chama, Spika Ndugai amesema wabunge wengi waliojitenga wana madeni makubwa hivyo hawaoni tija ya kuendelea kuhudhuria bungeni.
Spika anasema kwa uchunguzi mdogo alioufanya amegundua wabunge hao wana madeni ya ujanja ujanja na wanadhani wanaweza kuyakimbia hivyo ameshaitaarifu serikali iwachukulie hatua.
Ndugai amewataka wabunge wanaohudhuria vikao kutoshtushwa na mahesabu ya madeni waliyopewa na idara ya uhasibu kwani mahesabu hayo yatafanyiwa marekebisho ili wasiondoke Dodoma mikono mitupu.
Source Star tv!
My take; Chadema wanapitia kipindi kigumu makamanda mjiandae kuwachangia
Maendeleo hayana vyama!
Mzee Mgaya anasema katika hili Spika Ndugai ameshika mpini na watoro wameshika makali!
Nchi hii kila ina igizo na jambo jipya.. ila sabufa ikifika Bluetooth inakuwa si kitu tena
It is never too late to begin. Start now