Spika Ndugai: Wabunge waliotoroka wana madeni makubwa na ya ujanja ujanja hivyo atawakabidhi Serikalini wachukuliwe hatua

..Spika huyuhuyu asiyeruhusu hotuba za kambi ya upinzani, leo analalama wabunge wa kambi hiyo kukacha vikao vya bunge.
 
Kama mtu anadaiwa na anaacha chanzo cha mapato kitakachompatia uwezo wa kulipa si kuwa anaweza kulipa kwa vyanzo vingine? Spika huyu vipi?
 
Spika Ndugai amesema wabunge waliopo bungeni mahesabu yao yatarekebishwa!
 
Anayepitia kipindi kigumu hapa ni Job acha kukwepesha. Ulishawahi kuona Mke unayempenda anakimbia nyumba yako na arafu usijue kaenda wapi kwa kutokubaliana na jinsi unavyoendesha familia lazima utatapatapa na kuvurugwa akili na hayo ndo yanayomkuta Supika kwa sasasa..Jamaaa kachanganyikiwa kwa wabunge wa Chadema kutokuwepo Bungeni wakati ukiangalia kwa idadi ya wabunge wanaoongoza kwa utoro bungeni kwa sasa ni wa CCM ..wapo wengine ni majangili wametiwa ndani wakiwinda wiki iliyopita...wengine wagonjwa zaidi ya miaka miwili achilia mbali Mawaziri na Manaibu waliojilockdown kwa kisingizio eti wana majukumu ya Kiserikali. lakini yeye kawamiss wa Chadema...
 
Write your reply...kila siku anatuambia madeni ya wapinzani kwa akili zake ndogo anaona hiyo ni point ya kuwaambia watu wenye akili timamu. takataka kabisa
 
Kuna ndugu yangu mmoja aliniambia hivi "Ukiona nyoka anaonekana onekana basi ujue na uzima wake upo ukingoni" Ujumbe huu bado sijaupatia maana sana na wakati gani haswa unapaswa kutumika, ila kwa kinachoendelea huko mjengoni basi, pasipo na shaka, JOKA kuu limefika ukingoni
 
Spika Ndugai amesema wabunge waliopo bungeni mahesabu yao yatarekebishwa!

..sielewi kwanini spika yuko so focused na wabunge "watoro" wa cdm.

..unless wabunge wa ccm nao wanatamani kuwa "watoro" kama ndugu zao wa cdm.

..kwani Mzee Mgaya anasemaje kuhusu suala hili? kwanini linamsumbua Spika kiasi hiki?
 
Kuna mbunge wa CCM namdai milioni 68 tayari ndugai ana taarifa na wameniambia watakamkata kwenye kiinua mgongo chake.
 
Hatujawahi kuwa na nchi yenye mihimili isiyojua majukumu yake kama muhula huu.

Hivi huyu sub woofer alishindwa kupitia video za speaker aliyemtangulia kweli ili zimsaidie kupata uzoefu.

Hivi madeni ya wabunge nayo yanaingia kwenye hansadi za kibunge.

Useless speaker ever....

Parliamentary is weak..

Executive unasigina katiba.

Judiciary.. hapa kidogo sometimes wanajitahidi.

Ila utawala huu nao ni kama corona tu utapita na tutasahau.

sent using Simenzi mayai
 
..sielewi kwanini spika yuko so focused na wabunge "watoro" wa cdm.

..unless wabunge wa ccm nao wanatamani kuwa "watoro" kama ndugu zao wa cdm.

..kwani Mzee Mgaya anasemaje kuhusu suala hili? kwanini linamsumbua Spika kiasi hiki?
Mzee Mgaya anasema katika hili Spika Ndugai ameshika mpini na watoro wameshika makali!
 
Hhahaha Huyu Spika anajisahau sana.
Aangalie asije akaingia kwenye record. Na anajua kula ๐Ÿฆ  ๐Ÿฆ  kimengia white house ya USA? Awe makini asijisahau sana maana kila kukicha Chadema Chadema. Wananchi wamechota asione wapo kimya, hao wanaoshangili ni mataga ambao wanalipwa
 

Hivyo ndio vitisho wanavyopewaga wabunge wa ccm ili waunge mkono kila uhuni wa serikali, na iwapo mbunge wa ccm hatuunga mkono uhuni wa serikali, basi mtego wa madeni hutumika kumtisha. Hizo mbinu za Ndugai za kuleta vitisho mbuzi ni mikwara ya kizee ile mbaya. Hii inaonekana ndio mbinu kubwa ya Ndugai kuziba watu midomo, hii ni zaidi ya mara moja kila akitaka kuleta vitisho vya kipuuzi kwa wabunge hasa wa cdm hutaja madeni yao.
 
Mzee Mgaya anasema katika hili Spika Ndugai ameshika mpini na watoro wameshika makali!

..I thought so too.

..kwamba huu utoto haumuathiri Spika.

..unawaathiri zaidi cdm.

..sasa kwanini Spika anasumbuka nao kiasi cha kuwa kama amechanganyikiwa?
 
Nchi hii kila ina igizo na jambo jipya.. ila sabufa ikifika Bluetooth inakuwa si kitu tena


It is never too late to begin. Start now

Sabuufa kawashia ma ken de sasa wanatoa sauti kama mlio wa nguruwe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ