Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Unachosahau na wewe ni kwamba Zitto alipinga kuvuliwa kwake uanachama mahakamani.Labda unesahau hata zito alipovuliwa uanachama wa chadema aliendelea na bunge hadi lilipovunjwa bunge
Sent using Jamii Forums mobile app
aliyekuambia Yesu alisulubiwa ili uokolewe ni nani ?Ili CCM ianguke,ni lazima mambo na matukio kama haya yapete nafasi/yatokee kama ambavyo ilimbidi Yesu kusulubiwa ili sisi wanadamu tuokolewe.
Subirini yako mengi yanakuja na yatakayowashangaza zaidi.
Wamenyimwa maarifa ili utawala wao ufike mwisho na hivyo hawajui walitendalo mithili ya Wayahudi waliomsulubisha Yesu kutimizi maandiko,hivyo na hawa CCM nao wanayatenda haya ili kutimiza anguko lao pasipo kujua.
Tuna hasara kubwa sana, mwingine yuko zake chimbo hata anachofanya huko hakijulikani. Kuna haja ya watu hawa kufanyiwa vipimo vya afya. Huenda wana matatizo, siyo bure.Nadhani tuna viongozi vichaa mahali,mtu kamilifu hawezi kujitoa akili kiasi hiki.
Zitto alifungua shauri mahakamani kuupinga uamuzi ule. Kama utakuwa unakumbuka vizuri hapa JF alikuwa maarufu kama mbunge wa mahakama!Labda unesahau hata zito alipovuliwa uanachama wa chadema aliendelea na bunge hadi lilipovunjwa bunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Zito alikuwa na court injuction. Mahakama ilimnusuru baada ya kuvuliwa uanachama CHADEMA mpaka akawa anaitwa mbunge wa mahakama, huyo mwingine hana zuio lolote la mahakama isipokuwa zuio la kihuni la spika.Labda unesahau hata zito alipovuliwa uanachama wa chadema aliendelea na bunge hadi lilipovunjwa bunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndiyo saizi yake ni Mhe. Antipas Mbowe maana wote wanajitoa ufahamu.Yaani kaamua kujitoa kabisa ufahamu huyu mbwa
Sheria ya wapi hiyo? Ukihama chama na kwenda chama kingine kama wewe ni mbunge huo ubunge wako unakoma pale pale. Hakuna habari ya barua na ndiyo maana Cecil alikuwa haendi bungeni kwa sababu anajua alishapoteza ubunge wake kwa kitendo chake cha kuhama kutoka CDM kwenda CCM.Wale walifukuzwa, ukifukuzwa mamlaka ndo inatakiwa ilijulishe Bunge, ukijiuzulu wewe ndo unatakiwa ulitaarifu Bunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka Spika apokee na kuisoma hiyo taarifa ya chama, tena aipokee kwa dispatch hapo ndo patamu, sijui ataeipeleka barua ataingiaje Bungeni wakati wamejiquarantine.Silinde je kajiuzulu?
Nyarandu alifujuzwa na chama, huwa anawadanganya alijiengua enh? Chama kiliandika barua na hatua zikachukuliwa.Na hii case ya Nyalandu nayo unasemaje?maana Mwambe alipojiuzulu na kujiunga CCM,Chadema walimwandikia barua spika kama walivyofanya CCM hapo sasa leo Spika anasemaje kuwa hawezi kuifanyia kazi barua ya upande mmoja eti mpaka Mwambe amwandikie barua. Huoni haoa kuna double standard kwa malengo fulani?View attachment 1448039
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sie tulilojaaliwa ukimtazama tu mtu sura yake unajua km ni ok au sio ok sasa huyu ndugu itabidi tutafutSheria ya wapi hiyo? Ukihama chama na kwenda chama kingine kama wewe ni mbunge huo ubunge wako unakoma pale pale. Hakuna habari ya barua na ndiyo maana Cecil alikuwa haendi bungeni kwa sababu anajua alishapoteza ubunge wake kwa kitendo chake cha kuhama kutoka CDM kwenda CCM.
Wabunge wengi tu wameondoka CHADEMA kuunga mkono juhudi, spika atoe barua zao walizomwandikia kama ni kweli wanatakiwa kumwandikia barua?!
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaaaIvi wanasheria emu tupeni dondoo kidogo, mtu aliyetamka hadharani mchana kweupe na ushahidi wa ile clip bado ipo huwa haitoshi? mpaka aandike barua?
Natamani Mbowe kesho aende kwenye Media aseme nimejiuzulu ubunge Spika kweli ataendelea kumwambia wewe bado ni mbunge mpaka ulete barua?
tatizo huyu dhaifu kashikiwa akili kule Chato...hapo anaongea tu asichokijua!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msameheni Ndugai. Si akili yake inayomwongoza afanye hivi vituko. Akili yake inaongozwa na jiwe!