Spika Ndugai: Wanaotaka nimfukuze Cecil Mwambe Bungeni, wamwambie aniandikie barua ya kujiuzulu

Spika Ndugai: Wanaotaka nimfukuze Cecil Mwambe Bungeni, wamwambie aniandikie barua ya kujiuzulu

Ili CCM ianguke,ni lazima mambo na matukio kama haya yapete nafasi/yatokee kama ambavyo ilimbidi Yesu kusulubiwa ili sisi wanadamu tuokolewe.

Subirini yako mengi yanakuja na yatakayowashangaza zaidi.

Wamenyimwa maarifa ili utawala wao ufike mwisho na hivyo hawajui walitendalo mithili ya Wayahudi waliomsulubisha Yesu kutimizi maandiko,hivyo na hawa CCM nao wanayatenda haya ili kutimiza anguko lao pasipo kujua.
aliyekuambia Yesu alisulubiwa ili uokolewe ni nani ?

kwa hio wewe mbinguni unaenda free kwa kua Yesu alisulubiwa kwa ajili yako ???
 
Labda unesahau hata zito alipovuliwa uanachama wa chadema aliendelea na bunge hadi lilipovunjwa bunge

Sent using Jamii Forums mobile app
Zito alikuwa na court injuction. Mahakama ilimnusuru baada ya kuvuliwa uanachama CHADEMA mpaka akawa anaitwa mbunge wa mahakama, huyo mwingine hana zuio lolote la mahakama isipokuwa zuio la kihuni la spika.

Tofautisha mambo muhimu ya kitaasisi na tabia binafsi ya kiongozi huyo wa mhimili.
 
Mbona katiba iko wazi kwanini anataka kuweka katiba anayotaka yeye? Yani mtu akiwa Hana chama hawezi kuwa mbunge Ila yeye hajui hiyo anataka asiye na chama awe mbunge.
 
Wale walifukuzwa, ukifukuzwa mamlaka ndo inatakiwa ilijulishe Bunge, ukijiuzulu wewe ndo unatakiwa ulitaarifu Bunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria ya wapi hiyo? Ukihama chama na kwenda chama kingine kama wewe ni mbunge huo ubunge wako unakoma pale pale. Hakuna habari ya barua na ndiyo maana Cecil alikuwa haendi bungeni kwa sababu anajua alishapoteza ubunge wake kwa kitendo chake cha kuhama kutoka CDM kwenda CCM.
Wabunge wengi tu wameondoka CDM kuunga mkono juhudi, spika atoe barua zao walizomwandikia kama ni kweli wanatakiwa kumwandikia barua?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viatu vya samuel sita vinampwaya bwana huyu..yeye kukandamiza tu wenye mtazamo tafauti hakika hakuna mwanasiasa zama hizi ataeingia peponi wakwanza ni shetan mwenyewe wa pili ni poloticians hivi ukienda church unaomba nn ndugu?

Na ujiulize ukitoka hapo historia itakukumbuka namna gani?tazama mzee mwinyi he was not perfect but everybody loves him including u wewe itakuwaje bwana job
 
HUYU JAMAA KUMSIKILIZA UNAWEZA KUTAPIKA KWA UJINGA UNAOMTOKA MDOMONI ...TUNA BAHATI MBAYA SANA KAMA TAIFA KUWA NA VIONGOZI WA AINA HII
 
Huyu ana ugonjwa wa akili. Hivi hana la kuongea zaidi ya Chadema? Si bure alianzisha kikundi cha mipasho bungeni, huenda ndiko ana chukulia mipasho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii case ya Nyalandu nayo unasemaje?maana Mwambe alipojiuzulu na kujiunga CCM,Chadema walimwandikia barua spika kama walivyofanya CCM hapo sasa leo Spika anasemaje kuwa hawezi kuifanyia kazi barua ya upande mmoja eti mpaka Mwambe amwandikie barua. Huoni haoa kuna double standard kwa malengo fulani?View attachment 1448039

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyarandu alifujuzwa na chama, huwa anawadanganya alijiengua enh? Chama kiliandika barua na hatua zikachukuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kusoma comments hizi za Spika Ndugai, nimeanza kuamini kuwa huyo jamaa hivi sasa ni kweli mgonjwa

Hivi kweli Nyalandi alimwandikia barua ya kujiuzulu?

Hivi wale wabunge 8 wa CUF ambao aliandikiwa barua na Mwenyekiti Lipumba, aliambatanisha na barua za wabunge hao kujiuzulu?
 
Sheria ya wapi hiyo? Ukihama chama na kwenda chama kingine kama wewe ni mbunge huo ubunge wako unakoma pale pale. Hakuna habari ya barua na ndiyo maana Cecil alikuwa haendi bungeni kwa sababu anajua alishapoteza ubunge wake kwa kitendo chake cha kuhama kutoka CDM kwenda CCM.
Wabunge wengi tu wameondoka CHADEMA kuunga mkono juhudi, spika atoe barua zao walizomwandikia kama ni kweli wanatakiwa kumwandikia barua?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sie tulilojaaliwa ukimtazama tu mtu sura yake unajua km ni ok au sio ok sasa huyu ndugu itabidi tutafut
Ivi wanasheria emu tupeni dondoo kidogo, mtu aliyetamka hadharani mchana kweupe na ushahidi wa ile clip bado ipo huwa haitoshi? mpaka aandike barua?

Natamani Mbowe kesho aende kwenye Media aseme nimejiuzulu ubunge Spika kweli ataendelea kumwambia wewe bado ni mbunge mpaka ulete barua?
Hahahahaaa
 
Back
Top Bottom